dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Honestly wakulima ni hard worker sana tatizo kubwa ni miundombinu na viwatilifu plus proper knowledgeNa hauwezi kuingia kwenye nchi ya viwanda bila kufanya mapinduzi kwenye kilimo.
Kunapokuwa na kilimo cha kisasa na mazao kuongezeka Kwa wingi ndio kunatengeneza nafasi ya kuibuka Kwa viwanda vidogo na vya Kati Kwa wingi ili kuchakata na kuhifadhi hayo mazao.