Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
kwa kipi kilichochaajabu hapo kenya......?

mbona hamna kipya hapo au unajifurahisha
 
IMG_0226.jpg
 
Nyie jamaa kwa nini msiendelee kupost nude huko JamiiForums.com na uwes maana humu naona mnachafua tuu hali ya hewa
 
labda nikupe taarifa naona umechelewa, watanzania wengi wanamiliki majumba yao waliojenga kutokana na dream zao sasa nafkiri umefahamu point yangu😀😀😀😀😀😀😀
Ndio maana Dar ni unplanned
ukiruhusu watu wajenge watakavyo kwa cities...madhara yake ni unplanned baadaye.
 
labda nikupe taarifa naona umechelewa, watanzania wengi wanamiliki majumba yao waliojenga kutokana na dream zao sasa nafkiri umefahamu point yangu😀😀😀😀😀😀😀
Onyesheni hizo nyumba wanazomiliki tuone.
 
Onyesheni hizo nyumba wanazomiliki tuone.
hio kazi aliifanya kadoda vzr kabisa alionesha nyumba nyingi sana zinazimilikiwa na common people in dar hope uliziona😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ndio maana Dar ni unplanned
ukiruhusu watu wajenge watakavyo kwa cities...madhara yake ni unplanned baadaye.
hauruhusiwi ujenge utakavyo tu ilimradi .....ila mtu anaweza jenga nyumba ya dizain aipendayo....

elewa
 
Back
Top Bottom