Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Giraffe Manor Nairobi
kwabi uwongo mombasa ni mji wa mashoga/mapungatulia wewe..kuwa mstaarabu🙄🙄😀😀
so wewe shida yako ni mtu ajenge wewe ukapange au😀😀😀😀😀Ndio maana Dar ni unplanned
ukiruhusu watu wajenge watakavyo kwa cities...madhara yake ni unplanned baadaye.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mwenyewe naona na sitanzania pekee ni inameza maduka ya dunia nzima.....[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji13]hio mall inameza duka zote tanzania...