Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya subirieni ila kazi munayo safari hii 😀😀😀
Leo siamini kama wakenya wamekua wapole kias hichi nakumbuka mika 10 iliopita mlikua na matus juu ya tanzania
matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
 
L
kama umeingia ungepata kujua kuwa ilikua ni mimi niliyeileta habari hio hapa JF toka website ya nje....
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
😀😀
Leta official source usiniletee mambo ya jamii forum plz bro be serious😀😀😀😀
So unataka mm nikuamini wewe au😛
 
matusi hatuna sio kwa sababu ya upole ila ni kwasababu ya ustaarabu...tunajaribu kuwa wastaarabu ila kiukweli, tanzania bado sana...tanzania level ya Uganda na Rwanda...Kenya pacing
Hahahah leo wakenya ni wastaarabu aisee kweli dunia inazunguka😀😀😀😀😀😀
 
mbona una lia lia??😀😀
Sijaona cha kuniliza kaka maana naona leo unatapika kupita kias😀😀😀😀😀

Mm nakushauri malizeni uchaguz kwanza maana bado amani iko hatarini sana wageni wote washakimbia nchi
 
Sijaona cha kuniliza kaka maana naona leo unatapika kupita kias😀😀😀😀😀

Mm nakushauri malizeni uchaguz kwanza maana bado amani iko hatarini sana wageni wote washakimbia nchi
uchaguzi tuwachie sisi...tayari tumeshajenga jina duniani kote kwa independence ya judiciary...nyie hata hamjulikani mpo pande gani kwa map...😀😀
 
Bro unaeza kua serious kidogo unanieleza habari ya expectations hahahha
To expect maana yake huenda ikawa au isiwe so be serious hahahahha😀😀😀😀😀😀😀
nimeshakupa data...sasa wacha kulia lia?
 
uchaguzi tuwachie sisi...tayari tumeshajenga jina duniani kote kwa independence ya judiciary...nyie hata hamjulikani mpo pande gani kwa map...😀😀
Munajenga jina au munaiingiza nchi kwenye gharama ya mabilioni tena😀😀😀😀😀😀😀
 
Munajenga jina au munaiingiza nchi kwenye gharama ya mabilioni tena😀😀😀😀😀😀😀
democracy is expensive...sisi si kama nyie wabunge wanapigwa risasi mchana peupe...😀😀😛😛 by the way, alipona mwenzenu? maskini wanataka kumwua bure🙁🙁
 
Afadhali hio kuliko kifo cha musando siku tano kueleka uchaguzi we unajifunza nn hapo😀😀😀
msando anaweza akawa aliuawa na wakora ila mbona rais anawakamata watu bure...😀😀😀 yaani hata jina haiwezi kutajwa ama utakamatwa..😀😀
 
Back
Top Bottom