The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Huyo alivamia pasipo kuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hii bridge Iko na elevator au sio.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] This kinda bridges bongo zipo tu famba wewe
Hizi ni jokes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TIME MAGAZINE, Best greatest city Nairobi mentioned amongst themView attachment 2309062View attachment 2309063View attachment 2309064View attachment 2309065View attachment 2309066View attachment 2309068View attachment 2309070View attachment 2309072View attachment 2309073View attachment 2309075
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasema jana tu hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa mkuu. Ahsante sana nitafuata ushauri wako. [emoji120][emoji120][emoji120]Red meat ndio tatizo mkuu punguza kabisa uwe unakula samaki na kuku ukibadilsha kula uyoga, maharage na jamii ya kunde. Red meat tamu lakini ukila mara moja moja sio mbaya.
Mbona hao professionals waliofanya verification ya kuhost hiyo bank Kenya ilishika nafasi ya 4 huko.Nilikuambia geza upunguze kimbele mbele. Kenya hatuwezi kubali Tanzania ihost EACB. Mimi najua nchi yangu vizuri sana. Tanzania ni featherweight kwa mambo ya banking. Kenya ni heavyweight kwa mambo ya banking.
heri kila mtu abambane na hali yake.Central bank ya KAZI gani!!!
Kila nchi wajipange kivyao
Ngoja tuwapandishie na mikaa. Watarudi kwenye zana za mababu [emoji1787]CC: Tony254 endeleeni kuzuia Rostam!
Hii kitu imefanywa kitaalamu ila kuna watu wanalazimisha ifanyike kienyeji bila kuzingatia vigezo muhimu.
Wewe ni chokoraa tuu huna lolote unalolijua chini ya mbingu mimi sio level yako.Arguments zako apa jf ni za kijinga jinga tu with no content to learn from
Huwa hata hamko serious na EAC heri hata iende rwanda. Infact Rwanda makes alot of sense nyinyi tayari mko na EAC headquartersHii kitu imefanywa kitaalamu ila kuna watu wanalazimisha ifanyike kienyeji bila kuzingatia vigezo muhimu.
Kuna wale wanaojifanya wana michezo mingi kwao mbona hatuwaoni hapa.Amputee football World Cup 2022
(Fainali za Kombe la Dunia 2022 kwa wachezaji wenye ulemavu)
Tupo kundi E
View attachment 2309097
Inaitwa Ligi Kuu BaraNimeipenda hii neno 'Ligi Kuu'.
It should be the brand name for Tanzania Premier League.
Mtu yeyote hata akiwa China, sijui Germany, au USA.. akiona tu neno Ligi Kuu, moja kwa moja ajue ni ligi kuu ya Tanzania
View attachment 2309118
Yes ikonayo. Sasa elevator ni kitu ya kukushtua. 🤣🤣🤣🤣 Ushamba inakusumbua.Kwahiyo hii bridge Iko na elevator au sio.? 🤣🤣🤣 This kinda bridges bongo zipo tu famba wewe
Kila kitu cha EAC makao yake makuu yatakuwa Tz mtake msitake.Huwa hata hamko serious na EAC heri hata iende rwanda. Infact Rwanda makes alot of sense nyinyi tayari mko na EAC headquarters
Unadhani wanafika kwa hio footbridge wakitumia kamba ama. Tembea Nairobi utoe ushamba.Iko wapi elevator hapo, unavamia pasipo kuelewa mada mbwa ww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sio ya vilema.
View attachment 2308683
Wabongo munakuanga washamba sana. Ndio maana hio nchi yenu yote ikona less than 20 footbridges.
kisa na maana?Kila kitu cha EAC makao yake makuu yatakuwa Tz mtake msitake.
Huyu muache kama alivyo huwa yuko hivyo siku zote. Asikuumize kichwa mkuu!!Wewe mawazo yako, yako kwenye negative end of the spectrum you cant see anything good in any discussion.
Jokes na gazeti lenyewe ndilo linasemaHizi ni jokes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]