Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unajua mm nimekutajia nchi ngapi mbona unakua kama mtoto mdogo, nimekutajia rwanda burundi congo zambia malawi comoro na northern mozambique na usifkiri kwa akili yako uganda hawapitishi bandari ya dar wanapitisha sana tu
Uganda ipi? Ugandan goods account for 73.1 percent of Mombasa cargo

kisha hizo nchi zote ulizotaja ukiweka pamoja uchumi hata bado haujafika uchumi wa Kenya...MY TAKE: hamna pesa ya maana hapo...pesa zipo Ethiopia, Sudan Kusini na Uganda...kumbuka pia reli ya Kenya inaenda Congo, Burundi Rwanda...
 
hizo nchi zote ulizotaja ukiweka pamoja uchumi hata bado haujafika uchumi wa Kenya...MY TAKE: hamna pesa ya maana hapo...pesa zipo Ethiopia, Sudan Kusini na Uganda...kumbuka pia reli ya Kenya inaenda Congo, Burundi Rwanda...
Rwanda alisha cancel na uganda alisha cancel kama huna taarifa pole sana wote wamekuja tanzania

Uganda may join Dar as Kenya weighs options of extending SGR to

Rwanda dumps Kenya SGR route for Tanzania

Najua inauma sana lakini vumilieni tu😀😀😀

Na labda nikupe taarifa pesa iko zambia na congo ambazo 100% wanatumia dar port
 
angalia taarifa tarehe kwanza kabla uonyeshe ujinga ulioko akilini mwako...kisha Uganda hawatapewa mkopo na China mpaka wawe wanatumia reli ya Kenya...ama mtaijengea Uganda reli na mkopo wenu? lol!! pindi tu kenyatta alipoenda Bijing alimwambia rais akate contract na Uganda mpaka Uganda itakapojicommit kwa reli ya Kenya...
Uganda mulls ditching Kenya SGR route for Tanzania
https://www.independent.co.ug/ncip-uganda-kenya-meet-kampala-discuss-sgr/
Kenya, Uganda to sign joint SGR financing pact in Beijing
Uganda Needs Kenya Go-Ahead for $2.3 Billion China Rail Cash
Ugandan goods account for 73.1 percent of Mombasa cargo
 
Uganda ipi? Ugandan goods account for 73.1 percent of Mombasa cargo

kisha hizo nchi zote ulizotaja ukiweka pamoja uchumi hata bado haujafika uchumi wa Kenya...MY TAKE: hamna pesa ya maana hapo...pesa zipo Ethiopia, Sudan Kusini na Uganda...kumbuka pia reli ya Kenya inaenda Congo, Burundi Rwanda...
Bomba la mafuta la uganda limewatoa jasho mpaka uhuru kakimbilia ufaransa lakini wapi bila bila
Alafu tulivo watamu tunajenga bomba la gas sambamba na boma la magufua mpaka uganda so tutauza gas uganda na sudan huku congo pia wakitaka kujiunga kwenye bomba la mafuta la kutoka uganda
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Unacheza na wabongo wewe
 
Bomba la mafuta la uganda limewatoa jasho mpaka uhuru kakimbilia ufaransa lakini wapi bila bila
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Unacheza na wabongo wewe
mnasherehekea ujinga....bomba kuenda tanzania ilikua sababu ya security issues, cost and distance to sea...sio eti sababu wabongo ni bora kuliko wakenya...lol! biashara inafanywa kwa kulinganisha cost of doing business and the tz option was cheaper...we are better than you in everything..
 
angalia taarifa tarehe kwanza kabla uonyeshe ujinga ulioko akilini mwako...kisha Uganda hawatapewa mkopo na China mpaka wawe wanatumia reli ya Kenya...ama mtaijengea Uganda reli na mkopo wenu? lol!! pindi tu kenyatta alipoenda Bijing alimwambia rais akate contract na Uganda mpaka Uganda itakapojicommit kwa reli ya Kenya...
Uganda mulls ditching Kenya SGR route for Tanzania
https://www.independent.co.ug/ncip-uganda-kenya-meet-kampala-discuss-sgr/
Kenya, Uganda to sign joint SGR financing pact in Beijing
Uganda Needs Kenya Go-Ahead for $2.3 Billion China Rail Cash
Ugandan goods account for 73.1 percent of Mombasa cargo
kuhusu SGR kwenda uganda my friend hio umeumia yani mutatoka bilabila kama mulivolia kwenye bomba u wait and see😀😀😀😀
 
mnasherehekea ujinga....bomba kuenda tanzania ilikua sababu ya security issues, cost and distance to sea...sio eti sababu wabongo ni bora kuliko wakenya...lol! biashara inafanywa kwa kulinganisha cost of doing business and the tz option was cheaper...we are better than you in everything..
Kenya hamna usalama exactly
 
Hahahhaha pole sana kwa povu basi na SGR mutalia hvo hvo 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kenya hamna usalama exactly
port of Lamu ambayo ilikua itumike iko karibu sana na Somalia...wanamgambo wa alshabaab wanaweza waka attack wakati wowote na kuiba mafuta...ila kujibu swali lako, Kenya ni nchi yenye usalama...but it is also a victim of terror...it is not our fault that ther are people in Somalia who want to kill, steal and destroy...ugaidi hutokani na kenya...ugaidi unatokana na somalia...a failed state..tungependa kuiondoa nchi ya somali kabisa ila hio haiwezekani...Mungu aliwaweka pale...hatumlaumu
 
mnasherehekea ujinga....bomba kuenda tanzania ilikua sababu ya security issues, cost and distance to sea...sio eti sababu wabongo ni bora kuliko wakenya...lol! biashara inafanywa kwa kulinganisha cost of doing business and the tz option was cheaper...we are better than you in everything..
Alaf mm nikupe siri ndugu watanzania hua sio watu wakujionesha sana mambo yetu hua tunafanya kimya kimya yani adui anakufa huku anajiona😀😀😀
 
port of Lamu ambayo ilikua itumike iko karibu sana na Somalia...wanamgambo wa alshabaab wanaweza waka attack wakati wowote na kuiba mafuta...ila kujibu swali lako, Kenya ni nchi yenye usalama...but it is also a victim of terror...it is not our fault that ther are people in Somalia who want to kill, steal and destroy...ugaidi hutokani na kenya...ugaidi unatokana na somalia...a failed state..
Option zilikua mbili either msa au lamu by the way cost ya ardhi ndio iliowarudisha nyuma, ujanja mwingi ukizidi unakua ujinga na sasa tunawaletea gas kaeni mkao wa kula tunasambaza gas east and central africa na sasa tunaanza kujenga lpg plant in mtwara ambayo cost yake ni 30 billion$
 
Alaf mm nikupe siri ndugu watanzania hua sio watu wakujionesha sana mambo yetu hua tunafanya kimya kimya yani adui anakufa huku anajiona😀😀😀
adui yupi...unazungumzia Kenya? nchi iliyo na uchumi mkubwa ukanda huu?? lol! mbona hamjatufikia mpaka wa leo..on the other hand, gap kati ya uchumi zile mbili inaendelea kuwa kubwa....na msahau, Kenya iko ligi ingine ndugu...tz bado sana...pengine wengine wajaribu
 
Option zilikua mbili either msa au lamu by the way cost ya ardhi ndio iliowarudisha nyuma, ujanja mwingi ukizidi unakua ujinga na sasa tunawaletea gas kaeni mkao wa kula tunasambaza gas east and central africa na sasa tunaanza kujenga lpg plant in mtwara ambayo cost yake ni 30 billion$
sababu kenya pia haijengi projects sio? lol! look at this boy😀😀😛😛
 
adui yupi...unazungumzia Kenya? nchi iliyo na uchumi mkubwa ukanda huu?? lol! mbona hamjatufikia mpaka wa leo..on the other hand, gap kati ya uchumi zile mbili inaendelea kuwa kubwa....na msahau, Kenya iko ligi ingine ndugu...tz bado sana...pengine wengine wajaribu
Bado vp na munapumulia mashine😀😀😀😀
Labda uchumi wa kupika data maana kwa hilo hamujambo 😛😛😛😛
Tafutieni vijana ajira aisee 22.5% hahahha 🙄
 
Back
Top Bottom