Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado vp na munapumulia mashine😀😀😀😀
Labda uchumi wa kupika data maana kwa hilo hamujambo 😛😛😛😛
Tafutieni vijana ajira aisee 22.5% hahahha 🙄
kama uchumi wetu ni wa kupikwa just imagine what ur GDP is at?? 25 Billion?? 😀😀haiwez ikawa World Bank wamepika uchumi wa nchi moja...lol!😀😀itakuwa yenu basi ni 25 Billion kabla ya hio 47 Billion ya kupikwa...😀😀
 
Which one gas project also???😛😛😛😛😛
we have the SGR going to Uganda, light rail in Nairobi CBD, new airport in Isiolo, oil export plan, Lamu port (largest in Africa)
can I go on??😀😀 tz bado sana...
 
kama uchumi wetu ni wa kupikwa just imagine what ur GDP is at?? 25 Billion?? 😀😀haiwez ikawa World Bank wamepika uchumi wa nchi moja...lol!😀😀itakuwa yenu basi ni 25 Billion kabla ya hio 47 Billion ya kupikwa...😀😀
Hahahhaha wazee wa data bandia😀😀😀😀😀
Vijana 22.5% hawana ajira alaf unakuja kupanua mdomo munauchumi uchumi gani huo?????
Uchumi wa kenya umeshikwa na wageni na hili nilishakwambia ndio maana wazawa ni masikini wakutupa
 
we have the SGR going to Uganda, light rail in Nairobi CBD, new airport in Isiolo, oil export plan, Lamu port (largest in Africa)
can I go on??😀😀 tz bado sana...
Where is SGR going to uganda??😀😀😀😀
Mm mbongo bro
Lamu port isubirieni 2050 na kama unabisha utaniambia
Oil yenyewe mumegundua ndogo sana 😛😛😛
Yani kwa kifupi sijaona project ya kutisha
 
Hahahhaha wazee wa data bandia😀😀😀😀😀
Vijana 22.5% hawana ajira alaf unakuja kupanua mdomo munauchumi uchumi gani huo?????
Uchumi wa kenya umeshikwa na wageni na hili nilishakwambia ndio maana wazawa ni masikini wakutupa
uchumi mkubwa zaidi EA and central Africa...yaani mtasoma namba milele...nimkwambia Kenya GDP=Uganda GDP + TZ GDP...chukua calculator ufanye hesabu...😀😀
 
uchumi mkubwa zaidi EA and central Africa...yaani mtasoma namba milele...nimkwambia Kenya GDP=Uganda GDP + TZ GDP...chukua calculator ufanye hesabu...😀😀
Tafuta figure sahihi kuhusu tanzania na nilishakwambia hii ni 2017 shauri zako😀😀😀😀
 
Where is SGR going to uganda??😀😀😀😀
Mm mbongo bro
Lamu port isubirieni 2050 na kama unabisha utaniambia
Oil yenyewe mumegundua ndogo sana 😛😛😛
kwa hiyo SGR is going to Somalia sio? dogo una chekesha sana...SGR is going to Uganda...sasa wacha kulia lia...ukwli ndio huo...Lamu port begins operations next year...we also have a double decker highway from JKIA to Nakuru highway being built...Outer Ring Highway is already complete...just marking left and it has BRT and LRT lanes...lol! projects za Kenya zinameza za UG, Tz, Rwanda combined...hapa hamna mchezo ndugu...😀😀
 
kwa hiyo SGR is going to Somalia sio? dogo una chekesha sana...SGR is going to Uganda...sasa wacha kulia lia...ukwli ndio huo...Lamu port begins operations next year...we also have a double decker highway from JKIA to Nakuru highway being built...Outer Ring Highway is already complete...just marking left and it has BRT and LRT connections...lol! projects za Kenya zinameza za UG, Tz, Rwanda combined...hapa hamna mchezo ndugu...😀😀
Where is?????? Unajua usiniletee hadithi bro ujue mm mbongo, lamu port subirieni 2050 nakwambia sijaona project ya kutisha bado bro kumbuka kwanza lpg plant in mtwara cost yake ni 30 billion $ hahahaha sijagusa kwengine hahahhahaha
 
😀😀😀😀ati wizkid...lol! diamond hata hakuna musician ameshinda Nigeria ama SA...bado anabahatisha tu...kwanza hata hana diversity...anaimba stye moja tu na kwa lugha moja tu...kina wizkid wako mbali bana... nimeskia wizkid aki rap pia...mwulize diamond arap uone mazingaombwe!😀😀😱😱
Diamond alikuwa rapper wakati anaanza muziki
 
Mm nakwambi lamu port isubirieni 2050 u will see
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Yani tanzania iko motoooooo😛😛😛
Jirani anatoka kijasho chembamba kabisa
kijasho mnawapa waganda na wanyarwanda...sisi wahabeshi tu ndio wanajaribu...wengine wote bado sana...
 
kijasho mnawapa waganda na wanyarwanda...sisi wahabeshi tu...wengine wote bado sana...
Haya subirieni ila kazi munayo safari hii 😀😀😀
Leo siamini kama wakenya wamekua wapole kias hichi nakumbuka mika 10 iliopita mlikua na matus juu ya tanzania
 
Bro unaniletea source ya jamii forum hahahha
Plz be serious 😀😀😀😀😀😀😀
Pumzika bro naona leo umetapika sana😛😛
kama umeingia ungepata kujua kuwa ilikua ni mimi niliyeileta habari hio hapa JF toka website ya nje....
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
clear.png
😀😀
 
Back
Top Bottom