Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyama😀😀capital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...Huko mikoani hakuna shida/njaa kama kenya. Ndo maana wakenya wengi wanakimbilia mijini. Tanzania ni raha tu, popote pale kambi.
