7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Yeah sure 100%!!!Mbona hata ulaya na marekani wazungu ombaomba wapo hii ni dunia nzima.
Yeah sure 100%!!!Mbona hata ulaya na marekani wazungu ombaomba wapo hii ni dunia nzima.
EW ndiyo nn?We must rub it on your faces as promised, kwa vile mlisema EW haitawai jengwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watanzania wanakufa kwa vicheko huko 🤣🤣🤣🤣🤣, we jamaa kwakweli hapa, haya endelea kujimaliza Ili nikianza kukupiga ukimbie hii battle for a whileSino.., under construction, hakuna functioning industry.., mbona haupendi ukweli dogo?..., industrialization kwa Kenya mtangoja sana!.., ngojeeni watali wawalete $6B by 2025 target yenye mmeweka.., mambo ya industries tusisumbuane bana.., 😂 😂 😂 😂 😂
Cha ajabu nini hapo, ombaomba mzungu? Wacha upumbavu mjinga wewe, ombaomba wapo dunia nzima.lakini pia chenye kinanichekesha zaidi na capetown, ni kwamba
'Wazungu' ndo ombaomba uko......
kumbe africa ni africa tu.. yaani, kuna wazungu SA maisha pia inawapiga mswaki.! [emoji86][emoji87]
hauwezi kosa footprints ya uafrica, kilamahali uendako barini africa
[emoji86][emoji87][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1427][emoji1427]View attachment 2306525View attachment 2306526View attachment 2306527
kwani unaelewa nn maana ya neno upgrade ya PAX terminal aliyosema Mbarawa? Na zipi plan zilizopo za Arusha airport unazozijua wewe? Hamna plan ya ku-upgrade Arusha airport to international (category D)! Kwa hiyo kwa jinsi ulivyo wakijenga jengo la size ya Mwanza Airport tayari utakuwa international airport kuruhusu B747? Wacha kukurupuka u r smarter than that!Mtaalam 😀.. naomba maelezo ya hio tweet uliyopost na haya maelezo yako ulitoaga few weeks ago.
Just any explanation.. hapo ulikuwa unajibu kuwa 'nadhan Arusha inahitaji international airport'.. ukajibu hiv, je unakubaliana na Waziri kujenga jengo jipya?
View attachment 2306847
Umesahau Magufuli bridge.. the longest bridge in East & Central AfricaMiradi mikubwa Tanzania na Kenya ya karne
🇹🇿 Nyerere HP ✔️
🇹🇿 SGR ✔️
🇹🇿 EACOP ✔️
🇹🇿 Dodoma ✔️
🇰🇪 Lapsset ❌
🇰🇪 SGR ❌
😁😁😁😁
Nimetukana wapi wakati hata ulichoni-quote nilisema international airport si feasible with Kilimanjaro international airport (category D) at a proximity of 50 km apart? Kwani huelewi nn nilichoandika last time mpaka kuanza ku-twist opinion yangu? I think u r smarter than what u r trying to do now kwa vile hamna mahali nimepinga jengo jipya la abiria!😳Nimeomba maelezo (any explanation) umeanza kutukana? khaa..
Umeambwa maelezo sio kuniuliza tena maswal as if Im much know about everything 🤷♂️Nimetukana wapi wakati hata ulichoni-quote nilisema international airport si feasible with Kilimanjaro international airport (category D) at a proximity of 50 km apart? Kwani huelewi nn nilichoandika last time mpaka kuanza ku-twist opinion yangu? I think u r smarter than what u r trying to do now!
Prof Mbarawa hajamaanisha international airport hapo Arusha kasema upgrade ya jengo la abiria! Hamna mtu anabisha juu ya hilo! Wakajenge jengo zuri kama la Bukoba/Mwanza/Songwe na apron ya ku-park ndege ni sawa!Umeambwa maelezo sio kuniuliza tena maswal as if Im much know about everything 🤷♂️
Haya ndo maelezo sasa. Uwe una siku njemaMbarawa hajamaanisha international airport hapo Arusha kasema upgrade ya jengo la abiria! Hamna anabisha juu ya hilo! Wakajenge jengo zuri kama la Bukoba/Mwanza/Songwe ni sawa!
How does a port stop roads from being used?Kwani hiyo port sio component ya LAPPSET? Unapo pima ufanisi unapima kila component separately huwezi ku generalize.
Anchor component kwenye LAPPSET ni nini kama sio port?
If the anchor component has failed what do you expect from the rest of depending components?
Mfano mzuri tuu ni wa hub and spokes. Port hapa ndio hub all other components are spokes. Sasa hub ikifeli unategemea spokes zitaweza maintain their functions?
anyway pia mombasa wapo. pia mtwapa, kilifi na malindi.Cha ajabu nini hapo, ombaomba mzungu? Wacha upumbavu mjinga wewe, ombaomba wapo dunia nzima.
Kwa wale ambao hawajui Unga wa Yanga na mahindi ya njano.. Waende Mombasa port Sasa Kuna meli inashusha chakula cha msaada Kwa wakunya wanaokufa Kwa njaa.anyway pia mombasa wapo. pia mtwapa, kilifi na malindi.
malindi hasa utawapata waitaliono, wakiishi maisha chochole tu. hii ni kitu cha kawaida sana pwani mwa Kenya. kuona wazungu wamefyatu live
Rapidly developing DODOMA 👇. 👇. Kama wewe ni mkenya usiangalie hiz videos utakosa amani bure