Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

usilie...nitatembea tanzania nione hayo maendeleo ila kwa mtazamo wangu Dar tu ndio inatambulika...
Nenda arusha ni karibu na nairobi pia moshi ni karibu na arusha...utakuta vitu ambavyo hukidhani ungevikuta na itakua message tosha...no research no right to spk
 
Kama umemjua darasa obviously nyimbo ya muziki ndo imekubamba, iko directed na hanscana wa bongo!


Teknolojia ya video za bongo za hz iko juu, ni ngumu kujua ipi ni ya SA na bongo kama hufuatilii vizuri!

Kama huamini nikuletee video za directors wa kibongo utabaki kushangaa
sawa darassa ana producer wa bongo...na wengine?? lol!! wabongo huwa hata hamkithamini nchi yenu...mkenya ata iwe aje hawezi akaenda kusherehekea maendeleo ya wengine...mwone Jaguar...ana pesa nyingi sana ila hawez aka shoot vido yak SA...lol! tuna msemo, buy kenya build kenya...
 
wabongo wote wapepanga laini kuenda SA ku shoot video...bure kabisa!! inaonyesha hata hamuipendi nchi yenu...kila kitu SA...ipendeni chi yenu ata iwe mbovu namna gani...
 
mnasafari ndefu sana.......yaan hamtotoboa nakuwa international daima ...mtasota sana....huyo octopizo na hao wakora wengine hamna kitu.....


umepata bundles Leo chokoraa wa uswazi....wewe toa maoni kwa ngoma za sengenya lakini sio hip hop
 
Back
Top Bottom