El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
wabongo wote wapepanga laini kuenda SA ku shoot video...bure kabisa!! inaonyesha hata hamuipendi nchi yenu...kila kitu SA...ipendeni chi yenu ata iwe mbovu namna gani...
wanaenda kuimbia bafuni south Africa hahaha. .....kwani hakuna Jacuzzi hapo upanga
