Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo 2017
IMG_0190.JPG
 
kwanza kwa rap and hip hop kenya ina wakilisha...tz ngoma zao zote zinafanana...hakuna variety...kwanza wote wanakimbia afrika kusni ku shoot video..these niggas tho...😀😀
We ach ukilaza keny mnrpu ipi nyie ,machalii wawili tu kidogo ila ingia bongo ,na sio bongo tunwapa mkoa wa arusha wanawakalisha kenya kwa hip hip
 
Kenya mziki wenu ulishakwisha nadhani...his sauti sol ndio wnawabeba....uyo kaligraph Jones anarap nn hasa...manake hua naona anatema tu yai ....

Msikilizeni fiq Q mje tena tuzungumze labda hamuelewi maana ya hip-hop
 
ndio ila nje ya Dar mpo kama 1960 vile...lol! no internet, no roads...yaani msitu tupu...nawahurumia 45 million tanzanians...cities drive the economy...ndo maana nchi ndogo ya Kenya inaongoza nchi kubwa kama tanganyika...mmejifinyilia kule mikoani nyote na wanyama😀😀capital city inafanana sijui na msitu...mijengo finyu na very rare...Mind you, a knyan living in a slum is more educated and wealthier than a tanzanian living in a village...
Jamaa naona unapenda ligi, eti nje ya Dar tupo kama 1960 no internet, no roads yaani mstu tupu hahaha btw hivi unajua kua toka dar mpaka kigoma ( mwisho wa reli ) ni lami tupu kasoro kipande kidogo sana, unanajua pia tokea mtwara mpaka kagera ni full lami achana na hilo hapa nilipo ni umbali wa zaidi ya km1000 toka dar na nina access 4G ..
 
Miji ilioendelea Moshi,morogoro dodoma iringa,mbeya,tanga kuna huduma zote za kijamii maji umeme barabara ,network wewe Jay uko na zarau sana i rest my case though i never knew ur like that
 
usilie...nitatembea tanzania nione hayo maendeleo ila kwa mtazamo wangu Dar tu ndio inatambulika...
 
Kenya mziki wenu ulishakwisha nadhani...his sauti sol ndio wnawabeba....uyo kaligraph Jones anarap nn hasa...manake hua naona anatema tu yai ....

Msikilizeni fiq Q mje tena tuzungumze labda hamuelewi maana ya hip-hop

very true....kwa video watz wako fiti ila nyimbo hata hakuna yenye ishawahi nibamba...yaani watz ni bling tu kwa video...na mara nyingi zime kuwa shot Afrika Kusini...hawana producers na directors walio na talent kwao
wakenya kwenye industry ya mziki mtasota milele...... coz hamna mziki ambao ni wenu.....yaan mnarukaruka tu na hapo ndipo tunapowaacha tanzania we have our own music style....

kwa hili najiproud...na tunazidi kukipaisha kiswahili......nakukifanya kiwe on top africa kwa upande wenu wakenya nyie ni wasindikizaji kwetu....

ipromise nakupa 3years or 2 hapo hatokuwa fire huyo calgraph wala nini yaani atazimiki sababu hana style yake....utofauti ndiyo unaomtofautisha mtu na kumfanya atazamwe daima katika biashara yake.....nachowaomba wakenya muendelee kutia bidii kwenye mashindano ya mbio marathon
 
mi huwa napenda hip hop na marraping...tanzania ni darassa na joh makini pekee...njo kenya

mnasafari ndefu sana.......yaan hamtotoboa nakuwa international daima ...mtasota sana....huyo octopizo na hao wakora wengine hamna kitu.....
 
wakenya kwenye industry ya mziki mtasota milele...... coz hamna mziki ambao ni wenu.....yaan mnarukaruka tu na hapo ndipo tunapowaacha tanzania we have our own music style....

kwa hili najiproud...na tunazidi kukipaisha kiswahili......nakukifanya kiwe on top africa kwa upande wenu wakenya nyie ni wasindikizaji kwetu....

ipromise nakupa 3years or 2 hapo hatokuwa fire huyo calgraph wala nini yaani atazimiki sababu hana style yake....utofauti ndiyo unaomtofautisha mtu na kumfanya atazamwe daima katika biashara yake.....nachowaomba wakenya muendelee kutia bidii kwenye mashindano ya mbio marathon
wacha kutema yai ...kwanza jiburudishe na hii
 
usilie...nitatembea tanzania nione hayo maendeleo ila kwa mtazamo wangu Dar tu ndio inatambulika...
Huo mtazamo wako potofu na hicho ndio kitu kinawarudisha nyuma sana wakenya kujiona mko superior na hamuna chochote cha maana
 
sio kujiona tuko superior...tupo superior.... yaani tayari imeshathibitika...
 
very true....kwa video watz wako fiti ila nyimbo hata hakuna yenye ishawahi nibamba...yaani watz ni bling tu kwa video...na mara nyingi zime kuwa shot Afrika Kusini...hawana producers na directors walio na talent kwao
Kama umemjua darasa obviously nyimbo ya muziki ndo imekubamba, iko directed na hanscana wa bongo!

Teknolojia ya video za bongo za hz iko juu, ni ngumu kujua ipi ni ya SA na bongo kama hufuatilii vizuri!

Kama huamini nikuletee video za directors wa kibongo utabaki kushangaa
 
Back
Top Bottom