chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Inategemea na occupation yako, sasa kama kazi yako kupakua zile nanii za kariobangi chips na wewe wapi na wapi? ๐ ๐ ๐ ๐yaak!๐คฎ chips ina nyakati zake na wala sio mlo bali snack.
chips ni chakula ha kitoto sana huku.
kisha bongo chips na mayai iko very popular kwenye mitaa, whereas huku ni chapati madondo
๐คฎ๐คฎ
View attachment 2297449
Hilo lipo wazi,Vyakula vyote hivi vinatoka Tz, cku Tz ikisema haiuzi kitu Kenya wallahi mnakufa siku mbili tu. Au kama Tz ikatokea ukame wa kutisha juwa kwamba nchi ya kwanza kuathirika ni Kenya mana hawa malazy hakuna chakula wanazalisha, chakula chote kinatoka Tz, tunawalisha kwa kila kitu.
Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ila nyinyi kwenye kupika bado sana ,kuna kipindi nilivyokua na safiri nilipiga msosi hapo Nakuru asee chakula kibovu hakuna mfano kibaya zaidi ni hoteli kubwa ambapo mabasi kutoka mombasa na nairobi yanasimama ili watu wapate chakula cha mchana, watu wapwani pekee yake ndio wanajua kupika uko kwenu wengine nyote ushuzi tuu ๐aki bongo mna shida.....
eti sasa hii chips mayai ndo chakula bomba ya machizi mtaani bongolalaView attachment 2297456
na whereas huku, hii chapati madondo, ndo chakula bomba ya wasee mtaaniView attachment 2297455
Ase..kumbe pia bongo kuna marastafari.. ![emoji848]
hawa mafala nadhani wameanza tu copy polepole.... hii ni tabia hasa ya wakenya manati.. hasa toka dandora na kangemi massive
wajahkoya and king sellasie, i and i..
jah rastafari[emoji1421][emoji1421]
Sio njengere ni njegere, pia sio ndengu ni dengu.Njengere unaita ndengu?
Fool Kikuyu, it's "njegere" and "dengu"! Najua kutamka haya maneno ni mzozo ila usikutie kilema hata kwenye kuandika!Njengere unaita ndengu?
Sio madondo ni mandondo.aki bongo mna shida.....
eti sasa hii chips mayai ndo chakula bomba ya machizi mtaani bongolalaView attachment 2297456
na whereas huku, hii chapati madondo, ndo chakula bomba ya wasee mtaaniView attachment 2297455
Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ipo juu ya 4 mln mzee pata updates!Who feeds you, controls youNumber of Kenyans facing starvation increases to 2.8m
The number of Kenyans facing starvation has grown by 33 percent in the last five months, as the country faces a potential food crisis.www.google.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwa kukubali kwamba tunawalisha, pia usisahau tunalisha nchi zingine 7, na pia SADEC tunalisha. Juzi tu hapa tumepewa heshima na reputable body kwamba cc ndio walishaji waafrika wenye njaa waliotuzunguka kama Kenya.Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
If you don't feed people, you feed conflict*Tanzania ni fukara, tukifunga border wanaumia, tuko na jeuri ya pesa, we can buy food as far as Mexico, hawa ni ushabiki tu, a feel good argument, wako hovyo, they need Kenya sana kama soko la mazao yao, unaona vile tulifungia Uganda Maziwa, mayai na miwa wamelia sana, why? they are poor, hawana pengine pa kupeleka kwa wingi kama Kenya, tukifunga mazao yao yanaoza, especially perishables, sisi hatuwahitaji, we have options, wao ni fukara, raiya wao hawana many sources of income, so if we don't buy they remain dead poor, u can tell by the revenue serikali yao ina collect, wengi ni fukara, all data from reputable bodies show, na pia liko wazi, google earth shows how impoverished lifestyle they live.., usijisumbue na hawa noise makers wa jf, wanajiliwaza to feel good[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.
Kwishinei, the pride of Kenya ๐๐๐๐ loss making View attachment 2295189
Hizi vyombo ata ozzy bado zinatumika wewe boya to this date [emoji28]Hahaha ukiacha mbali upishi wa chakula anachokula hasa mboga (hiyo kwa Tanzania ni supu watu wenye hangovers wanakunywa Asubuhi na sio mboga sababu ipo plain)
Kingine ni hivyo vyombo vya chakula [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vilitumika Tanzania 1940s, zunguka Tanzania nzima hutoviona isipokua Magereza [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2297375
Nyie fukara, mnahitaji hela za hizo nchi, hamujiwezi mtalisha nani? lazima muuze, they buy u don't feed them, u feed yule mtu unampea bure, kama jamii yako unayo ishughulikia., rogar that mjukuu? mko hovyo sana nani, usijitekenye ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Asante kwa kukubali kwamba tunawalisha, pia usisahau tunalisha nchi zingine 7, na pia SADEC tunalisha. Juzi tu hapa tumepewa heshima na reputable body kwamba cc ndio walishaji waafrika wenye njaa waliotuzunguka kama Kenya.
Kuna nchi ambazo hazilimi lkn huwezi kusikia raia wana njaa mfano Saudi Arabia, you know what? They have money, na mabaki ya chakula wanatupia mbwa wao waliopo Africa mashariki nchi inayoitwa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa mbwa wapo wengi sn yn licha ya chakula tunachowapelekea lkn bado wanapewa misaada ya chakula na bado haiwatoshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haibadilishi ukweli nyie ni hovyo., zoea ukweli ba mzee., ni uchungu naelewa ila utanyooka tu., ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Skia kondoo, im sure haujui the baggage problem UK airport has been having, si ufungue tu link ata usome, atcl has never tasted profits nor break even[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] loss making View attachment 2295189