dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Sisi huku Tz tunakula kisinia?unakijua kisinia wewe?naona nyie Monday to monday mnazungumzia unga lol [emoji38]ila eatanganyika mna roho chafi sana. eti hivi ndo mtashauri wakenya!.. ona mwenyezi mungu suupana ametuonekania.. sasahivi unga 2kg ni soo moja tu!
ushauri wamtanganyikaView attachment 2295553
Taking loans to feed empty stomachs what an economy! Typical of a failed state.ila eatanganyika mna roho chafi sana. eti hivi ndo mtashauri wakenya!.. ona mwenyezi mungu suupana ametuonekania.. sasahivi unga 2kg ni soo moja tu!
ushauri wamtanganyikaView attachment 2295553
kutumia siniia huwaga inaniboo... kwanza kwa klabu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4ππππππ, . siniia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalaliSisi huku Tz tunakula kisinia?unakijua kisinia wewe?naona nyie Monday to monday mnazungumzia unga lol [emoji38] View attachment 2295558
sasa kama truck la soda likipinduka ni vita huko Kunyaland? Si usahau kuhusu ustaarabu wa kula kwenye sinia!kutumia sinia huwaga inaniboo... kwanza kwa klubu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4ππππππ, . sinia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalali
Haha mnakula cha hamu tu we huoni ilo mixer lilivyokaa kimtego...mboga nyingi kuliko chakula[emoji3][emoji3][emoji3] ,my point is Tz tunakula na kusaza mana tunalima,nyie hadi unga mnawekewa ruzuku?SMHkutumia sinia huwaga inaniboo... kwanza kwa klubu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4[emoji38][emoji38][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38], . sinia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalali
Yaaani hii barabara yote ni Giza!!!
HAkuna LAΓMI!Mkuu ilo eneo liko hot vibaya mno, Ukiacha na nyumba za milimani sehemu tambarare nyingi zimepimwa mza, wale maskini wasiojiweza ndio hukimbilia Mlimani. Changamoto kubwa ni barabara.
Hizi ni baadhi ya nyumba kwenye hilo eneo la Nyamhongolo
View attachment 2295250
Ufukara, ujinga, wivu, roho mbaya na uchawi vinakusumbua, utapona ba mzee, ukweli unabakia pale pale.., mko hovyo, kalilie kwa choo, maumivu yakizidi jinyongeπππͺπ₯π₯ππAt least weren't living in hell like you π π π π
Uishi hivi bado na uhakika wa chakula ni 0% mpaka serikali ikakope kukusaidia kumudu bei ya unga π π π π
View attachment 2295519View attachment 2295520View attachment 2295521View attachment 2295522View attachment 2295523View attachment 2295524View attachment 2295526View attachment 2295527View attachment 2295529View attachment 2295530
Mombasa ni Dar mwanangu, mashambani Mwanza peleka Burundi kuleee.,Mombasa 15 kilometers from CBD huwezi kukuta neighborhood kama hii, utakuta mapori na vichaka vya tandu na nyumba za kuti na tope π π π
Halafu Mikunya inalazimisha Mombasa iwe Mwanza
Tanzania most urbanized
View attachment 2295153View attachment 2295155
Mchina wa mall/trade center kakimbia?
Hii ilikuwa wapi mkuu
Sisi huku Tz tunakula kisinia?unakijua kisinia wewe?naona nyie Monday to monday mnazungumzia unga lol [emoji38] hView attachment 2295558
Tuoneshe kilio cha twitter nasubiri ππ yani unafananisha treni ya mkandarasi na treni ya kenya inayobeba vichwa vyenuKipigo cha karne. Twitter kilioππView attachment 2295209