Basi Mwanza mna shida sana me siko Dar nipo kjjijini umeme upo na maji upo kuanzia miaka ya 70 hadi leo hii.Viongozi wenu ni wazembe sana. Poleni [emoji46][emoji46]Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna
Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
Hili jibu ndilo nilikuwa nalihitaji. Nilikuwa ninapinga data kwasababu hazina uhalisia wa mambo ninayoyaona mtaani.Mambo yote ya umeme muwe at least mnaniuliza, pengine naweza kuleta au kuulizia data/evidence from TANESCO wenyewe/kitengo cha takwimu.. achanane na data za mtandaon za hawa wajinga akina WB .. TANESCO huwa hawatoi sana data mtandaon (hii ni either uzembe wa maadmn au waandishi wa habar kuulizauliza)
Engineers wengine waje wajifunze hasa wanaotokea kwenye mikoa yenye mali ghafi kama hizi.Ingekua kenya ingetumia billion 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe umewai tumia SGR ya Kenya?., unapingana na haujui lolote., ata hiyo SGR haujawai kutumia.,Maneno 100 ya mkunya chukua 1. Eti 116kph on a 100kph loco.
Sasa ona ulivyo zwazwa, how do u use an example ya hospitali na stima? electricity u may need daily, ikija hospitali unaeza kaa miaka kabla haujakanyaga pale., ujinga ni laana kilaza, so kwa akili yako uchwara nyaya za stima zikipita hapo nje ya nyumba yako na hauja connect wewe utahesabiwa kama mtumizi, nyambaff 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 context ya neno accessibility hapa ni use, understand contextual use of words, inaitwa operationalization of words in a study..,Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.
Mfano mzuri are health services accessible in your area? Utasema ndio kama kuna hospitali karibu ambayo unaweza kutibiwa ila haimaanishi mpaka ulazwe au uwe ndani ya hospital ndio uite hiyo ni access.
Vilevile kwa umeme ukipita mbele ya nyumba yangu inamaana nina access ya umeme either nikitaka kuunga umeme naweza hakuna kinachonizuia ama kama jirani kaweka umeme kwa nyumba yake naweza nikaenda kuchaji simu yangu hiyo ndio access.
Lakini kama hamna access maana yake umeme haujafika hapo mlipo wala hakuna huduma za afya katika eneo husika.
Wakenya wamenielewa, it's how we speak., yaani wewe ni maembe aje? ina maana wewe ni zuzu sana., ama ndwazi, yaani hovyo sana..,Wewe umeona kiswahili chako hapo juu [emoji115]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama sio wivu unaokusumbua ni nini zaidi?, Kwahiyo wewe hutaki kuamini mawaziri na viongozi wa Tanzania, badala yake unaamini mtu ambaye hata kijijini kwao hawawezi kumchafua kuwa kiongozi wa Nyumba kumi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lisharobaro halijawahi tumia SGR lakini kazi ni mdomo tu apaSasa wewe umewai tumia SGR ya Kenya?., unapingana na haujui lolote., ata hiyo SGR haujawai kutumia.,
Hata gongo la Mboto , ulongini , kinyerezi unaenda hadi mbezi kuna barabara nzuri sana. Pia wamejenga daraja mto msimbazi panapitikaPale majumba sita nyundo lazima ihusike, padogo sana kufosi fly over yakuja kuungana na G/Mboto Road. Njia mbadala wabuni sehemu nyingine kabisa ambapo hakuna Nyumba nyingi za kuvunja ili kujenga fly over yenye nafasi.
Ila pia kuna barabara ya Kifuru-Pugu-Chanika ipo kwenye mpango wa kuwekwa lami hii pia inaweza badili movement za public transport badala ya kutegemea majumba sita.
Kuliko kupoteza nishati ya umeme ni bora kupunguza gharama ya kuunganisha umeme . Maana mtu lazima atanunua tu umeme hamna namna . Kuwa na wateja wengi inaongeza kipato kwa shirikaAcha kulalamika mzee magufuli hakuwa mjinga alivyoshusha gharama za kuunganisha umeme hadi 27k kwa sababu alijua watu wengi walikua hawawezi kumudu gharama za kuunganisha umeme na mpango wake ilikua watu waunganishiwe bure punde bwawa litakapokamilika ila sasa awamu mpya iliyongia ndo wamevuruga kabisa kwa kuongeza gharama na sijui kama wanampango wakushusha kwaiyo tukae kwa kutulia sindano ituingie
Exactly. Soma paragraph ya mwisho. Maana yake ni hiv.Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.
Mfano mzuri are health services accessible in your area? Utasema ndio kama kuna hospitali karibu ambayo unaweza kutibiwa ila haimaanishi mpaka ulazwe au uwe ndani ya hospital ndio uite hiyo ni access.
Vilevile kwa umeme ukipita mbele ya nyumba yangu inamaana nina access ya umeme either nikitaka kuunga umeme naweza hakuna kinachonizuia ama kama jirani kaweka umeme kwa nyumba yake naweza nikaenda kuchaji simu yangu hiyo ndio access.
Lakini kama hamna access maana yake umeme haujafika hapo mlipo wala hakuna huduma za afya katika eneo husika.
Punguza upumbavu wako, wewe sema ni nchi gani duniani ambayo serikali imewaingizia umeme na maji hadi ndani kwenye Nyumba za watu binafs.Sasa ona ulivyo zwazwa, how do u use an example ya hospitali na stima? electricity u may need daily, ikija hospitali unaeza kaa miaka kabla haujakanyaga pale., ujinga ni laana kilaza, so kwa akili yako uchwara nyaya za stima zikipita hapo nje ya nyumba yako na hauja connect wewe utahesabiwa kama mtumizi, nyambaff [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] context ya neno accessibility hapa ni use, understand contextual use of words, inaitwa operationalization of words in a study..,
@Tony254Exactly. Soma paragraph ya mwisho. Maana yake ni hiv.
- 73% ya wanaoishi mjin nyumba zao zina umeme. Na
- 24% ya wanaoishi vijijin nyumba zao zina umeme tayari. Hapa REA itaenda kupaisha hii, mana hata bei yao 27k kwa sasa ni ndogo
View attachment 2295181
Huoni unavyopata tabu kuitetea Aston villa?[emoji23]Aston Villa huwa inanyorosha Man Useless sio mara moja.., (hujambo The best 007 ).,
Kwengine uchafu tuuKwa jirani zetu wa north miradi kama hii ni nbo tu
Kwa sasa hivi Tanzania ni gateway ya wachezaji kwenda Egypt , Morocco na south Africa . Kulikua na mghana namungo Steven sey kama nimeandika jina lake sawa sawa after one season alipata team Egypt , tena alikua namungo , yaani ligi ya bongo unapata hela plus mileage ya kuonekana . Ndio maana hata waandishi wa West Africa uwa wanakuja kuangalia mpira kwenye baadhi ya mechiNamungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.