joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hii data ni 2015, WB bado hawaja "update" data zao. Angalia data za 2013 za World bank na hii ambayo unadai ni 2020 uone Kama Kuna tofauti, hii data ni kabla ya Magufuli hajaingia madarakani, hii ni enzi za Kikwete.Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.
Cc 7seven
Nani aliyekuambia Kenya ni second world, wewe umetoka pori gani?, hatukuelewi.Ni kweli mkuu porojo zimekuwa nyingi kuliko vitendo.
Siku tukipata akili tutaelewa kwanini wenzetu wa kenya wanawekwa kuwa ni second world while Tanzania ni third world, unazani hawakuona maghorofa ya kariakoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania kuna porojo nyingi kuliko vitendo siku viongozi wakipata uzalendo na uchungu kwa wananchi wao tutatoka huku tulipo na kuanza kutumia rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Namungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.Nimesoma comments jamaa wanalalamika kama watoto wakambo[emoji28]. Wanatulalamikia kila kitu[emoji28]
Wewe umeona kiswahili chako hapo juu [emoji115]Kwani Nigeria ni maembe aje? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama sio wivu unaokusumbua ni nini zaidi?, Kwahiyo wewe hutaki kuamini mawaziri na viongozi wa Tanzania, badala yake unaamini mtu ambaye hata kijijini kwao hawawezi kumchafua kuwa kiongozi wa Nyumba kumi?Asante sana, umejieleza vizuri. Karibu kwenye jukwaa.
Cc joto la jiwe natumai umepata ujumbe.
@Tony254 kwahiyo hizi ripoti zote za serikali kwako hutaki kuziamini badala yake unaamini walevi humu JF?, Wewe uko na wivu Sana kwa Tanzania. Kuna huyo tuusan anajiita ni muajiriwa serikalini, lakini Hana uwelewa wowote wa mambo yanayofanyika serikalini.Mjadala wenu kuhusu umeme, majibu yote yapo hapa.. kiufupi REA itatupaisha
Hii ni report ya mpk 30 June, 2020
Mmeiona hio Electricity Access?
View attachment 2294614
Kingine, Zanzbar mteja anaesabiwa ni mmoja tu kama Zanzbar, japo kuna nyumba nyingi ndan ya Zanzbar
View attachment 2294617
Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.The idiots don't know kuna tofauti ya accessibility na real connection.,., nyaya za umeme zikipita nje ya nyumba yako haimaanishi wewe uko na umeme kwako nyumbani, u have to connect., ndio maana connectivity ya Tz is low, though govt ime enhance availability thus easy accessibility, but kwa ajili ya ufukara wao ulio tapakaa vijijini, few are connected to the grid.,
Cc
coodip1
Wa kijijini bado bei ni ile ile ila gharama kwa mijini ndio imepandishwa.Acha kulalamika mzee magufuli hakuwa mjinga alivyoshusha gharama za kuunganisha umeme hadi 27k kwa sababu alijua watu wengi walikua hawawezi kumudu gharama za kuunganisha umeme na mpango wake ilikua watu waunganishiwe bure punde bwawa litakapokamilika ila sasa awamu mpya iliyongia ndo wamevuruga kabisa kwa kuongeza gharama na sijui kama wanampango wakushusha kwaiyo tukae kwa kutulia sindano ituingie
Maneno 100 ya mkunya chukua 1. Eti 116kph on a 100kph loco.Nimesafiri na SGR from Mombasa to Nairobi, inafika 116km/h, wacha porojo, kila coach has a small digital screen above the corridor entrance showing moving speed., and I was watching it, the train was running between 95 and 116KM/h.., averagely., inachezea 105 to 110 sana sana., so wewe ni muongo., kaulize yeyote ambaye ametumia SGR.,
Na kuna wakati inashuka hadi 75km/h., I guess coz of timing ile inayotoka Nairobi, maana kuna mahali zinapishana, lazima zifike pale kwa pamoja., but nadhani kama hakuna oncoming train., from Nairobi to Mombasa and vice versa mwendo inaeza kuchukua around 3 hours..,
barabara ya kifuru -pugu-chanika inakumbukwa kweli au ndio imebaki kwenye makaratasi?Pale majumba sita nyundo lazima ihusike, padogo sana kufosi fly over yakuja kuungana na G/Mboto Road. Njia mbadala wabuni sehemu nyingine kabisa ambapo hakuna Nyumba nyingi za kuvunja ili kujenga fly over yenye nafasi.
Ila pia kuna barabara ya Kifuru-Pugu-Chanika ipo kwenye mpango wa kuwekwa lami hii pia inaweza badili movement za public transport badala ya kutegemea majumba sita.
Wewe kinachokuumiza ni wivu[emoji23][emoji23][emoji23]Narudia tena kwa mara ya mwisho kwamba Tanesco ina 2.9 million customers wa umeme wakati Kenya power ina zaidi ya 5.9 million customers wa umeme.
Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid | kplc.co.ke
Nairobi, March 20, 2017…..Kenya Power has confirmed that 5.9 million customers have been connected to the grid to date through ongoing government-led national electrification programmes.www.kplc.co.ke
Cc joto la jiwe coodip1 chongchung
Kwa jirani zetu wa north miradi kama hii ni nbo tu
Hiyo sahau maisha.
Najirani nauliza tu! Lini mtaanza kutumia VAR!
Nimeona kwamba hata Somalia wapo juu yetu [emoji846][emoji848][emoji848]Usimsikilize huyo jamaa anayeitwa joto la jiwe. Click hii link ya World Bank. World Bank inasema kwamba access to electricity in Kenya ni 71.4% wakati access to electricity in Tanzania ni 39.9%.
2020 tuna 39.9 hizi data zinanishangaza kwa kweli [emoji849][emoji849][emoji849]Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.
Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Recently data sina lakini nikiangalia kwa kasi ya usambazaji wa umeme ni zaidi ya 2.7 mnazosema tumeunganisha. DAR peke yake ni zaidi ya 2.5 ,sasa iweje iwe hiyo hapo juu nchi nzima?Ni households ngapi zimeunganishwa kwa umeme?tuanzie hapo
Data ni za 2020 kwamba ni 39.9,na wewe unaamini tupo hapo,hazijaongezeka?Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
Ni sawa ,uhakika tumeshavuka hapo tena kwa kiwango kikubwa sana.Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.
Cc 7seven