Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaaaaahhhhhhh hizi picha za kishenzi namna hii umezitowa wapi ? Uchafu hadi kwenye njia za juu za wapita kwa miguu [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] sasa nimeiamini ile picha ya ng'ombe wakipita kwenye njia za juu za kenya...mwanzoni nilijua ni uongo[emoji40][emoji40][emoji40] Tony254 MK254 komora096 Nicxie
 
Mkuu, wakati Magufuli anaingia madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.

Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nigeria iko siku itazunjika na sio mbali. Next year wana general election na ruling party (Apc) flag bearer ni muislamu na vice wake pia muislamu. Second biggest party (PDP) flag bearer muislamu. Foolani na Yorubas wameungana dhidi ya wakristo
 
Wakunya ukitaka ukosane nao waambie wakuletee barabara mpya kama hizi [emoji28][emoji28][emoji28]

Sema hiyo mikunjo kwenye barabara zetu ni hatari sijui nini tatizo kwa mainjinia ?? Au ni ufisadi wa kurefusha urefu wa barabara ili wapige pesa [emoji849][emoji849]...maana mikunjo kama hiyo inasababisha ajali za barabarani kwa asilimia 70 pia inasababisha uchovu kwa dereva ,inasababisha vyuma vya gari kuchoka kwa kukata kata kona mara kwa mara na kuvunjika na kusababisha ajali...
 
Sio rahisi. Ingawa ukifuatilia mitandaoni utaona kama nchi itavunjika kesho maana yake wayoruba wanapiga kelele huku waigbo nao wanataka Biafra yao. Wote wanalia kuwa Buhari (bokohari) anataka kutimiza ndoto ya Usman Dan Fodio kwa kuwapendelea wafulani wa kaskazini na kuiweka Nigeria chini ya himaya ya kiislamu. Nina hakika hizi kelele zitapita na Nigeria kuendelea kuwa nchi moja baada ya uchaguzi mwaka ujao, licha ya hisia za ukabila na udini kushika kasi.
 
Shida ni takwimu, NBS huwa wanachelewa sn ku update taarifa, Tz mashirika ya umma yamelala lala sana sijui kwanini tunakuwa wazembe wazembe kwenye vitu serious namna hii.
 
Sikatai kuwa hali ni mbaya lakini hiyo nchi haitavunjika vipande vipande kirahisi kama unavyofikiri. Sio tu Nnamdi Kanu (Igbo) ambaye kwa sasa yuko mahabusu Abuja baada ya kukamatwa Nairobi; hata Sunday Igboho (Yoruba) naye kwa sasa yuko ukimbizini Benin Republic baada ya kukoswa kuuawa na watu wanaodhaniwa walitumwa na serikali.
 
Associate wangu ambae yuko ground anasema maziwa ya azam yamepotea baada ya GoT kuongeza tax kwa powder milk. Alafu wanasema wana ngombe kumbe ni maziwa ya unga😁😁
 
Nimetazama women's 10,000 metres inayofanyika huko Oregon, USA. Kenya imeshinda silver and bronze medals. Ethiopia ndio wameshinda gold. Hio race imekuwa interesting. Hellen Obiri ni mnoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…