Nimekuelewa mkuu!hapana, kuna issues mbili;
Tank na Tanker ni vitu viwili tofauti! Tanker linaweza kuwa truck au aircraft au marine vessel! Tank ni stationery container!
- Tank la freshwater slums za Nairobi
- Oil tanker lililopinduka Thika Superhigway na kugonga BRT sasa kuna Mkunya kajitamba jinsi Zimamoto walivyoingilia kati kuzuia Mungiki kuchota mafuta!
Tuongee kwa fact Nairobi au mombasa ina nini ambazo dar hakuna? Lakini nakuhakikishia Nairobi au Mombasa ni levels za Kampala sio dar huo ndio ukweli ata wakenya wenzio wanajua hilo kwa sasa.....Dar ina vingi ambavyo Nairobi au kenya in general havinaWewe kwa vile umeona dar haitoshi kwa luanda na maputo sasa unafosi tufanane sio.
Dar size yake ni kina mombasa huku juu hamuwezani kabisa kwa sababu ya kujaza uswazi kila kona.
Tena mombasa ina nafuu kidogo manake ina potential kubwa sana wakati dar construction boom ilijifia.
Fanyeni bidii kwa dodoma ili ikifika 2070 angalau ifanane na Nairobi ya leo.
😂😂😂😂😂
Jaribu niko hapa uone kama haujakimbia,iyo city pekee ni tajiri kuliko Kenya yote unawezaje shindana nayo...I wonder unasema nairobi kuna mall mbele ya SA?sasa two rover mall inaweza kua hata kwenye top 50 kweli ya mall zao?nakumbuka hakuna mahali mnawaweza by far wako mbelejozi kuna nn cha ajabu ambacho hakipo nairobi. stock exchange tunayo, international companies tunazo, malls tunazo, infrastructure tunayo, high tech companies tunazo, forensic lab tunayo, international media stations tunazo, ghorofa tunazo, hospitals tunazo
ready kutoka una maana gani ilikuwa ilikuwa switched on?Hiyo ilikua ready kutoka , na yeah najua e class ni ya kawaida sijasema Wana Hela nyingi nimesema the estates are well managed. that is inside the estate, hata Barbara ni estate road tu Kuna close to 596 units hapo na ni gated community..
weeee.... mambasa yetu achana nayo. sio macheso naniii.. ata skyline ya kampala bado sana hapaTuongee kwa fact Nairobi au mombasa ina nini ambazo dar hakuna? Lakini nakuhakikishia Nairobi au Mombasa ni levels za Kampala sio dar huo ndio ukweli ata wakenya wenzio wanajua hilo kwa sasa.....Dar ina vingi ambavyo Nairobi au kenya in general havina
Pako sawa,kwann ufananishe na ulaya ,ulaya ni kuzuri kwa %kubwa nyie ni sehemu chache kama sehemu nyingi za Africa zilivyoHapa ni Nairobi sio ulaya
View attachment 2291224
Pretoria ni tamu balaa ngoja nijitwishe hii kaziTulikubaliana cities tatu pekee za SA ndio zimeishinda Nairobi kwenye mambo kadhaa. Hii Pretoria hatukuitaja na wala siamini kwamba imeipiku Nairobi unless uprove. Kuja na evidence ya Pretoria. Kama unakumbuka vizuri nilikubali kwamba Joburg, Durban na Cape Town pekee ndio zimeipiku Nairobi. Hii Pretoria sitaamini mpaka ulete evidence ndio nifanye maamuzi yangu mwenyewe.
Lagos gdp yake pia ni kubwa kuliko tanzania nzima kwahio point yako ni null unless unaamini lagos imeendelea kuliko tanzania. Alafu two rivers hapo SA ni hakika inaingia top 10, nevertheless joburg iko juu.Jaribu niko hapa uone kama haujakimbia,iyo city pekee ni tajiri kuliko Kenya yote unawezaje shindana nayo...I wonder unasema nairobi kuna mall mbele ya SA?sasa two rover mall inaweza kua hata kwenye top 50 kweli ya mall zao?nakumbuka hakuna mahali mnawaweza by far wako mbele
Kabisa,japo nakubali mmetuzidi mambo kadhaa lakini neck neck kuna hata vitu tumewazidi,Yes tunaweza tusiwe na makampuni mengi ya kimataifa hapa lakini mji bado ukafurukuta vizuri tu juu tuna mambo kadhaa ambayo yanatupa faida kama madini,gas,mbuga kibao zote zinaweza kua chachu katika kukuza uchumi wetu, Dar bado ndio mji pekee Tz unaoweza kuwapa yumbo joto,Imagine Kampala ama Addis?Addis bado sana...and do u think Dar inasimama kwa Nairobi kiukweli?..,
2022-2017 vp hauna nkeka mpya?
Kwa hiyo hii sio westlands?View attachment 2291367
live picture just from visiting a friend Ona vile watu wanaishi na adabu na hapa ni Eastlands.... Dar having gated communities is a pipe dream
Iyo Pretoria ni mji wa nne kule SA Na mnahema ivyo[emoji3][emoji3][emoji1787]You are right. I noticed even number of dollar millionaires Nairobi and Pretoria are posting similar figures with Nairobi sometimes posting higher figures. I am almost sure Nairobi has a bigger gdp than Pretoria. Nikipata time nitasearch hizo data then I will post them here.
Nairobi ni International Garbage collection center (IGCC) not otherwiseDar haipo level ya Nairobi. Tumeshawapita by far. Nairobi is now an international city na de facto regional headquarters of East and Central African region. Kila organisation ya kimataifa inaset up regional headquarters yake Nairobi. Dar es Salaam haipo level ya Nairobi hata kwa maoni ya international travellers au expats.
Hata ukisema nyayo ni 5k units which accommodate 10 people each 50k ni kiduchu kwa 6 million Nairobians to bragging you live in the decent housings, 500 similar to nyayo kamdanganye bibi ako! 😅😅😅😅Nyayo estate has 4774 units and each unit hosts a family house does that add up to 3000???? Anyway now there are more than 500 similar to nyayo but now kinda smaller.... Slums ni kawaida in any quickly developing city and that's due to rural urban migration and za Kenya NGO pay guys sometimes wasihame ndo wapate pesa za donors so it's complicated but apart from that this city is one hell of a city it's doing good for itself ukiwa unaishi mbali na hizi slums you will sometimes forget they exist
Siku nikiamka na Mood ntakuonyesha mahali naishi, kama hizi ndio mambo mnaona za kijanja basi nasmell umaskini mbaya sana mbele yenuView attachment 2291367
live picture just from visiting a friend Ona vile watu wanaishi na adabu na hapa ni Eastlands.... Dar having gated communities is a pipe dream
Haka ni size ya kukurupuka na matokeo ndio Hayo 😁Hii ndo ile platform/daraja ya kutoka na kuingilia brt yao?😄View attachment 2290597View attachment 2290598
Apo unacompare size ama urembo? Mana niwe tu muwazi iyi mombasa terminus ni hewaUkweli imekufinya penyewe, now u know size yenu, zoea bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .,
Dar SGR terminus vs Mombasa Terminus., mlichemsha [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dar terminus
View attachment 2291371
View attachment 2291372
Mombasa Terminus
View attachment 2291375
View attachment 2291373
View attachment 2291374
PorojoTrue that.
Soith African cities are overrated. All South African cities are old fashioned.