Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Tanzania Kuna magorofa??,si ni uswazi tupu,ukinyamba inabomoka[emoji16]

Kweli Magufuli alikufa na hii miradi,,poleni hakuna tena Cha maana kitatendeka mpaka afufuke
Itakamilika yote. Kaa mkao wa kusubiri![emoji6][emoji6][emoji846][emoji846]
 
Your largest state is nyayo which accommodates only 3k Nairobians

Majority mpo humu na ukitaka kuprove angalia density ya takataka inaendana na density ya producers πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Because that is colonial mentality ambayo bado ime ku enslave.
 
Me naona Serikali iawasaidie wananchi kuja na teknolojia rahisi ya kujenga nyumba zao ambazo wanaweza kutumia nishati mbadala kuwapatia joto kipindi cha baridi.

Ukiangalia hata Eastern Europe wanayo hiyo teknolojia ya kutumia kuni badala ya gesi hasa familia zenye kipato cha chini. Kwa Tanzania kutumia gesi itachukua muda mrefu kidogo mpaka kila nyumba iwe imewekewa.

Southern highlands baridi ni kali na msimu wa joto ni wa muda mfupi, mabadiliko ya tabia ya nchi hayatabiriki, kuna wakati inawaweza kitokea baridi kali zaidi sasa kama watu watakuwa hawajajiandaa inaweza kuleta madhara makubwa sana vikiwemo na vifo.
 
Whatever but they don't keep air conditioning units in their homes they would rather spend time in the park to get a tan.
 
It is colonial concept period.
 
Akisikia mlio wa shell ya HIMARS moyo unaweza ukasimama ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata ikitokea ambush akimbie hafiki mbali dakika moja chaliii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha, ukiona unaanza kujenga hoja na kujikweza, ujue ndio mwanzo wa mwisho wako. Sasa hata wakenya wenzenu wanapokuja Tanzania wengi wanakubali kwamba Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla ni "better' kuliko Kenya/Nairobi na sio Kama walivyokua wakiamini kabla ya kufika Tanzania, wewe ambaye bado hujafika Tanzania bado upo na mawazo ya kizamani Kama wakenya wengi mlivyo, ngoja kwanza ufike Dar.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
mbona minaona kanakwamba pretoria ni kamji kadogo sana. eti sasa unataka ikatoane ubavu na kanairo...... πŸ€”πŸ€”πŸ€”

japo iko well organised, hapo sikatai

 
Kuna mambo mengine wananchi hawawezi kufanya kama Serikali haijainsist hata kama yana faida kwao.

Kwenye covid 19 tulikuwa tunaambiwa kunawa mikono kila mara, ebu fikiria mtu mzima anaambiwa anawe mikono [emoji846][emoji846], ila ni kwa faida yake,si kwa ajili ya covid tu bali afya yake. Hili zoezi lingeedelea la kunawa mikono magonjwa ya kuhara na kuharisha yangepungua kama siyo kuisha kabisa.
 
Pretoria is a small city. Wacha alete battle tuone. I am here to learn. By the way I did not know that Durban is that big, I learnt that here. But I doubt Pretoria is as big as Nairobi. Wacha alete picha zake tuone.
Wewe tembea kwanza ujionee tofauti ya nchi zingine, ninakuhakikishia, Nairobi haigusi kwa Luanda, Wala Maputo. Tatizo wakenya mnajikweza bila sababu za msingi.

Luanda ni moto wa kuotea mbali, hakuna Jiji lolote East & Central Africa linaloweza kulinganisha na Luanda, hata Nairobi + Dar kwa pamoja zinaweza kushindwa na Luanda, eti unataka kuchokoza majiji ya South Afrika ulinganishe na huo uchafu wa Nairobi, ninyi wakenya huwa hamna akili.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ana maajabu yake anaweza kuwashangaza wazungu atawashinda na kubaki wamepigwa butwaa.

Nampongeza amejijenga vizuri yuko na misuri kweli kweli [emoji123][emoji123][emoji123][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…