Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I dont think its the nile treaty that is stoping us from exploiting fully the waters of L.victoria since we are nolonger a signatory member, we renegotiated and signed a new one which egypt boycotted.

Lack of political will from both sides is the reason why we dont have a pipelines from the lake while in mount kenya region they are building the second water collecter tunnel.
The learders from lake side dont want to share their resource and the muthamakis dont want to share the funds. That is why we must ensure the government and devolved units are working in tandem.
 
Dodoma haina mito mito ni ya msimu wa mvua
Kwa bahati mbaya sana mto Omo ambayo ndio mto wa pili kwa ukubwa huko Ethiopia baada ya mto Nile unapeleka maji yake Lake Turkana. Lakini mto Omo upo upande wa Ethiopia. Kwa hivyo Waturkana hawawezi kutumia maji ya mto Omo licha ya maji hayo kuwa fresh water. Halafu kwa bahati mbaya zaidi, maji hayo yanapoingia ndani ya Lake Turkana yanakuwa salty water (yaani maji ya chumvi) kwa hivyo maji hayo hayawezi kutumika kwa ukulima au kunywa. Maji haya yana chumvi kwa sababu ziwa Turkana haina outlet yaani haina mto inayotoa maji Ziwa Turkana na kuipeleka kwingine.
 
Serikali yenu inabidi ichukue hatua za makusudi kabisa
 
Yeah I agree, lack of political will is likely the reason for inaction.
 
Hakuna sababu ya Tanzania kuwa masikini. Hakuna.
Sure 100%. Tutakuwa matajiri kadri tunavyoendelea kujipanga kiuchumi, tufute hii mentality kwanza kwenye vichwa vya watu eti sisi ni wanyonge na masikini.

Sisi siyo masikini nchi yetu ni tajiri tunatakiwa kuishi kitajiri kama nchi yetu ilivyo na resources nyingi.
 
Una reason ya kitoto sana,kwa hiyo mnamkosa kupata huduma ya maji kwa sababu maji hayapandi mlima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli duniani kuna baadhi ya watu ni vituko
 
Huu mzimu wa CCM sijui utakufa lini uneonekana kuitesa sana nchi. Pengine tusubirie wenye nchi na waungwana waamke ndio wafanye maamuzi.
 
Una reason ya kitoto sana,kwa hiyo mnamkosa kupata huduma ya maji kwa sababu maji hayapandi mlima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli duniani kuna baadhi ya watu ni vituko
Unatwist maneno yangu ndio ufaidike vipi? Nimesema tutumie pipelines kusafirisha maji na water pumps kupump maji kwenye milima. Uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana.
 
Iko wapi Victoria hapo, iko wapi mbezi beach, iko wapi kigamboni, iko wapi masaki hapo, iko wapi kawe, Dar kubwa sana co ka Nairobi hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni mawazo mazuri ndio maana nikasema shida huko nyuma ilikuwa wizi, ufisadi, miradi hewa.

Sasa hivi mama ameongeza bajeti ambayo itajikita kwenye kilimo cha umwagiliaji kutokana na potential ya ardhi na maji tuliyo nayo.

Miundombinu ikijengwa maana yake imerahisisha kilimo, vijana wapewe ardhi walime, pembejeo, na watafutiwe masoko ya kuuza mazao yao.

Hivi kwa mfano hii bajeti isipoonyesha impact yoyote kwenye kilimo mchawi atakuwa nani?

Mipango ya kwenye makaratasi isiwepo, fedha zinazotolewa zifuatiliwe na zionyeshe zimefanya kazi gani. Suala la kuishia kwenye mifuko ya watu hapana hatutafika kokote.

Huu ndio ushauri wangu kwa serikali mkuu.
 

East African Crude Oil Pipeline (EACOP) Project on Track

expogr.com

Jul 12, 2022 3:01 AM

A request for a license to begin the construction of the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) has been submitted to the government of Uganda by the company in charge of the project. According to Martin Tiffen, general manager of EACOP company they are ready to begin construction. The submitted application will be completed in 180 days, or before the end of the year, according to Honey Malinga, acting director of petroleum at the Ministry of Energy and Mineral Development (MEMD).
From Kabaale in the Hoima district of Uganda to Chongoleani in the Tanga region of Tanzania, EACOP will cover a distance of 1,443 kilometers. Tanzania will host 1,147 kilometers of the pipeline's total length. In Uganda, the remaining 296 kilometers will pass through 10 districts. Malinga continued by urging the EACOP firm to address the concerns of the authorities, citizens, community leaders, and stakeholders.

Tanzania and Uganda signed the Inter-Governmental Agreement (IGA) for the connection in May 2017. The Petroleum Authority of Uganda (PAU)authorized the front-end engineering and design findings (FEED) in October 2020. The National Environment Management Authority (NEMA) approved the environmental certificate in December 2020. In February 2022, the parties came to a final investment decision (FID) covering the upstream and midstream parts of the Lake Albert project. With a 62% share, TotalEnergies is the main driver behind the connection. Tanzania Petroleum Development Corp. (TPDC) and Uganda National Oil Co. (UNOC) both have 15% of the market, compared to CNOOC Uganda's 8%.

According to the statement, the pipeline will provide new routes in the area. It claimed that the link would allow access to the East African coast for the eastern Congo cities of Kinshasa, Burundi, Rwanda, and South Sudan. The connection will cost $3.5 billion and transport 216,000 barrels of crude oil daily. The project's partners anticipate funding the project with 60% equity and 40% loan. An NGO opposed to the EACOP project, BankTrack, has hypothesized that Total may lower the amount of loan requested. Along with others, the NGO has tried to persuade banks and financiers to steer clear of the East African initiative.
In May of this year, Bollore Logistics received the primary logistics contract with EACOP. More than 80,000 joints of 18-meter line pipe are among the thousands of cubic meters of material that will be transported under the contract terms. The business will bring the pipe into Tanzania and transport it to a facility in the Nzega area. The facility will offer a coating for thermal insulation there. Bolloré predicted that the project's truck mileage would go over 30 million.

East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project overview
EACOP is a 1,443km crude export pipeline system that will transport Uganda's crude oil from Kabaale - Hoima District in Uganda to a a maritime port facility on the Chongoleani peninsula Tanga in Tanzania. This export system, (296km in Uganda and 1,147km in Tanzania), comprises a 24-inch insulated buried pipeline, six (6) pumping Stations (2 in Uganda and 4 in Tanzania), and a maritime export terminal.
The section in Uganda will traverse 10 districts; Hoima, Kikuube, Kakumiro, Kyankwanzi, Mubende, Gomba, Sembabule, Lwengo, Rakai, and Kyotera; 27 Sub-counties, 3 Town Councils, and 171 villages.
The project's permanent land requirements cover the crude oil pipeline corridor, Above Ground Installations (AGIs) such as pump stations, access roads, and four construction camps and pipe yards. In Uganda, these land requirements total approximately 2,740 acres or approximately 1,109 hectares (ha). Most of this (over 90%) relates to the 30m wide construction corridor for the export pipeline and AGUs, with the remainder for temporary construction facilit
 
Unatwist maneno yangu ndio ufaidike vipi? Nimesema tutumie pipelines kusafirisha maji na water pumps kupump maji kwenye milima. Uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana.
Mi nacheza na kauli zako mzee ojwani kama unapinga kauli zako basi utakuwa na matatizo si bure,
Endelea kukuza huo upeo wako mkubwa wa kuelewa mambo
 
Haiya! Kumbe Sir Mo Farrah alikuwa traficked to the UK akiwa mtoto mdogo?

 
Sera ya kilimo kwanza iliishia wapi?
Watu walipewa mashamba hewa, mengine yana umiliki halali wa kampuni na watu binafsi, hakuna chochote kilichofanyika watu wakapiga pesa ikaisha.

Sasa hata hizi nyimbo za kuilisha Afrika kama hatuna usimamizi bora wa fedha zinazoelekezwa kwenye kilimo tutabakia hapa hapa.

Ninaposema Magufuli aliwaamsha watu namaanisha ule usimamizi wa fedha za miradi hata kama kipindi chake kulikuwa na upigaji lakini haukuwahi kuzidi wa huko nyuma.

Tunataka kuona na kupata matokeo chanya kwenye kilimo chetu.
 
Iko wapi Victoria hapo, iko wapi mbezi beach, iko wapi kigamboni, iko wapi masaki hapo, iko wapi kawe, Dar kubwa sana co ka Nairobi hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ndio the best of Dar., siongelei makazi kilaza., hiyo ndio jiji.., yani town ya Dar.., the best of the best.., Makazi ni story nyingine, na unajua so relax., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…