Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si kuna story ya kukarabati mabehewa na vichwa mitumba
Yes lakini hawahusiki na sgr. Hizo vichwa vya Tazara Afrio 4000 vilinunuliwa na Prassa kampuni ya reli south africa lakini vikawa virefu kwa kwenda juu ikawa havipiti kwenye baadhi ya njia za reli zenye power line ziko low hence vikapata kazi tazara
 
Tunapambana ivyo ivyo tutakuaje no1 Africa na unona wenye mafuta ndio vinara kule juu
 
I love that you’re also fascinated by the cosmos. And I also appreciate the time you’ve put to write all this info, but I’m well aware of it.

As you’ve mentioned, the universe is unimaginably vast! And that’s why we measure the distance of celestial objects in Light Years. A light year is a distance that light travels in one year. The sun is approximately 8.3 light minutes away from Earth. So, it takes light from the sun 8.3 minutes to reach our eyes. Thus, we see the sun as it was 8.3 minutes ago!

Now imagine objects that are millions of light years away. For example, the closest spiral galaxy to ours (the Milkyway) is Andromeda, which lies about 2.5 million light years from Earth. That means, it’s taken light from Andromeda 2.5 million years to reach earth. So when we view the galaxy using our telescopes, we see it as it appeared 2.5 million years ago.

The deep space image by Webb is an interesting one. It shows the galaxy cluster SMACS 0723 as it appeared 4.6 billion years ago, according to NASA. The thing about galaxies is that they’re always in motion, and the universe is also expanding. In 4 to 5 billion years, the Milkyway and Andromeda Galaxies will collide. So, their shapes will no longer be recognizable.

The same applies for what the picture shows. We see the cluster as it appeared in the past, 4.6 billion years ago. Today, it looks very different!
 
And the universe keeps on expanding at a faster rate that some of the galaxies in our universe are not visible at all as it takes many years for lighr to reach us.

There is also a probability of having more than one universe called " multiverses " this shows how expansive the space is.
 
Wewe joto la jiwe ndio mtu mwenye wivu kali sana dhidi ya Kenya kwenye uzi huu. Unakumbuka ile siku nilisema kwamba Kenya inaexport black tea worth $1 billion ukanipinga kwa ukali mwingi ukisema kwamba Kenya hatupandi majani chai kwamba Kenya tunapokea majani chai kutoka nchi jirani? Sasa tazama hii video kama una bundles ndio utajua ukanda huu hakuna nchi inapanda majani chai kutushinda.
 
A multiverse isn’t probable, though I like to entertain the idea. So far, there’s just been speculations and science fiction.
 
Hakuna sababu ya Tanzania kuwa masikini. Hakuna.
 
Ni wakati sasa wa Tanzania kuondoa CCM mamlakani kwa sababu wameshindwa kuondoa umasikini Tanzania licha ya rasilimali yote mliyonayo. Wao ndio mbw* waliyowanyonya kwa miaka sitini bila nyie kupata mafinikio yoyote ya kiuchumi. Tafuteni chama kingine pengine mtapata mafanikio, otherwise CCM naona ndio chanzo kikuu cha umasikini hapo Tanzania.
 
World Bank nao wana ujinga. Sasa Ethiopia wametupita vipi na walikuwa na vita huko kwao last year? Anyway Tanzania at $67 billion is really shocking coz that is almost half of Kenya's Gdp now.
 
World Bank nao wana ujinga. Sasa Ethiopia wametupita vipi na walikuwa na vita huko kwao last year? Anyway Tanzania at $67 billion is really shocking coz that is almost half of Kenya's Gdp now.
Remember Kenya's currency has been on a free fall since 2019 while that for Ethiopia has been stable most of the time.
 
Tunapambana ivyo ivyo tutakuaje no1 Africa na unona wenye mafuta ndio vinara kule juu
South Africa haina mafuta na ndio maana nimelinganisha Tanzania na South Africa. South Africa wana shamba kubwa yenye rutuba na mvua ya kutosha kama Tanzania. South Africa wana madini ya aina zote kama dhahabu, Diamond na kadhalika kama tu Tanzania. South Africa pia wana mbuga za wanyama ambazo zinaleta watalii wengi kama tu Tanzania. In fact mbuga za Wanyama za Tanzania ziko much better than za South Africa kwa sababu huko South Africa hakuna wildebeast migration na hawana tallest mountain in Africa kama nyinyi.
 
Ndio maana youtuber wa kenya wakifika TZ uwa wanashangaa mazingira yalivyokua masafi
Hawajiulizi hakuna siku vlogger wa kikunya akapost picha za uchafu bongo, kila wakija bongo wanashangaa huo uswazi wanaoambiwa upo bongo hawauoni wanaishia kusifia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…