BRT gani unazungumzia hakuna brt tazara.BRT ya tazara ni bora x2 ya ubungo ...brt ya ubungo imejengwa kifisadi fisadi bora wangejenga sawa sawa na yatazara ...kwanza ule mwinuko wa ukuta kuwa juu sana kabla ya nguzo ya kwanza ni kosa kubwa sana maana eneo ambalo hiyo brt ipo ni mjini kabisa hivyo kuharibu sura ya mji na kuzuia mzunguko wa hewa
Sasa unajifanya hujaona zile picha za uswazi nilizopost hapa?Kaka ninakupa homework Google uniambie kama tanzania kuna nyumba za mbavu za mbwa kama hizi👇ukizipata nitag nifunge account
Washaupoteza already. Makao makuu yao washahamisha DodomaUnless they act now mji mzima wataupoteza.
Ju watu wa Kibera hawana tumbo ama.Sasa wewe kama unakaa kibera utazionea wapi hizo products.
Tumbo wanazo ila uwezo wa kujaza hizo tumbo na products mbalimbali hawana.Ju watu wa Kibera hawana tumbo ama.
Kama hujui ccm na anc ni vyama vyenye ushirikiano kwa 100%,hata hao hizo rangi wamechukua kwa ccmand what is CCM in the first place.! aah!.
ruto amepata inspiration toka afrika kusini, anasema anaiga mfano mzuri wa nelson mandela ndo sababu akachukua rangi za ANCView attachment 2285082View attachment 2285080
Ruto's UDA Party colors👇🏽View attachment 2285245View attachment 2285090View attachment 2285091
Alikuwa na hila chafu unfortunately ni Sukumagang tu wanam-support!Kwahili la Kigoma umenena kabisa, barabara ya Nyakanazi Kigoma ilianza kipindi cha mwisho cha Kikwete ilianza kwa kasi sana mwamba alipoingia ngoma ikasimama ni hapa juzi tu ndo amsha amsha imeanza tena. Kwa wakazi wa Kigoma hasa mjini ukiongea habari za kumsifia mwamba utapigwa makofi
Viwanda vya Tanzania ndio hizi hapa, wala usitegemee nyingine 😂 😂
View attachment 2285108
Eti biggest beverage 😂😂😂😂Kenya has the biggest beverage industry and market in the region. Products za Azam hata 1 % of the market share hazipati.
aa wapi.? copycat nyinyi...Kama hujui ccm na anc ni vyama vyenye ushirikiano kwa 100%,hata hao hizo rangi wamechukua kwa ccm
Thèse roads here need to be upgraded..
Konyagi ndio 1st spirit hata ulieKonyagi hazijateka soko la spirits Kenya wewe jamaa. Usiongee upuuzi. Njoo Kenya uone ni spirits gani zinauzwa kwa maduka.