dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Is better , just explain to your fellow kunyan , wanadhani Moro ni small town . Ni sehemu kubwa sana moro pia ni njia panda ya kuelekea southern Highland iringa , mbeya na mikoa mingine na kwenye central Dodoma , singida na kwingineko . Ukiwa moro hata usiku unaweza kwenda mwanza ndio uelewe Moro uwa usiku kama mchana . Uwa panakuwa na mishe mishe sanaMimi nimefika morogoro mpaka mkata na hio route ina trailer nyingi sababu ya copper from zambia na drc plus ni route ya dodoma na iringa, si kama arusha route, wako justified kupeleka train moro
Unataka niamini power generated by electricity inakua na less energy than energy generated by fuel . Bro mi sio injinia lakini nimesoma physics o'level na advance law conservation of energy inasema "energy can not be created or destroyed but it can transformed from one form to another " kifupi energy inayotakana na umeme inaweza kuwa converted to any form of energy na ikawa na same efficient. Ila ujue huku Tanzania ukisoma physics advance unasoma vitu vingi sana wanaoendelea kusoma engineering huko mbele vingi vinakuwa révision haswa kwa mwaka wa kwanza . Kwa unachojaribu kusema kua kilo kumi ya pamba ni nyepesi kuliko kila kumi ya mawe which is totally wrongumeme haina nguvu tosha ya kubeba tonnes ya mizigo mchizi wangu..... niulize mm mhandisi nikujibu.
this Tz's multi billion dollar mega project is only limited to tanzanian passengers, period.! heri ata ingekua ya fossil fuel kama yetu, na ibebe abiria pamoja na mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na Uganda... hapo my brothers mngekua mme kill it!.. ingekua na manufaa maradufu... ingejenga sana uchumi wa tz
lakini kwa sasa wacha tujitayarishe kutizama tu maua, yani bonge la binti[emoji182][emoji307][emoji3404] atakaye tubabaisha na maumbile ya kukata na shoka.......
nb: mwanamke sio urembo... ni tabia na anaye chapa kazi
Kwahiyo umeme inayofua hiyo generator ya gari moshi yenu unanguvu kuliko umeme wa kwenye grid ya taifa sio according to you. Wewe ni bonge la kilaza hata hujui treni inafanyaje kazi.umeme haina nguvu tosha ya kubeba tonnes ya mizigo mchizi wangu..... niulize mm mhandisi nikujibu.
this Tz's multi billion dollar mega project is only limited to tanzanian passengers, period.! heri ata ingekua ya fossil fuel kama yetu, na ibebe abiria pamoja na mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na Uganda... hapo my brothers mngekua mme kill it!.. ingekua na manufaa maradufu... ingejenga sana uchumi wa tz
lakini kwa sasa wacha tujitayarishe kutizama tu maua, yani bonge la binti[emoji182][emoji307][emoji3404] atakaye tubabaisha na maumbile ya kukata na shoka.......
nb: mwanamke sio urembo... ni tabia na anaye chapa kazi
Acha kujidhalilisha hapa wewe ni mshamba huna exposure yoyote zaidi ya Kenya period.but am well vast with more mature established countries than your shithole kantiri, even prior to joining this thread.! niulize nikujibu. sasa nijisumbue na nchi ambayo tunaipiku kwa kila kitu mpaka saa ngapi.. tht will be a waste of my precious tyme! sina tyme na tanganyika, a Least-Developed-Country
Porojo hiziDanganyika SGR is doomed to fail, its just a matter of time.
There is no way somebody will convince me that there is huge cargo+passengers to warrant SGR train between this dusty town of morogoro to dar-is-a-slum View attachment 2283909
Kitu kimoja ninachoelewa ni kwamba Watanzania wana akili kubwa mnoMbongo anataja majina ya kingiriki kama ya kizaramo 😅😅😅
Intel ya wabongo ni shida
Mkunya hata kusoma kiswahili hajui tena huyo ni speaker wa Bunge, kisha utayasikia kiswahili ni chetu 😅😅😅
electric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..Unataka niamini power generated by electricity inakua na less energy than energy generated by fuel . Bro mi sio injinia lakini nimesoma physics o'level na advance law conservation of energy inasema "energy can not be created or destroyed but it can transformed from one form to another " kifupi energy inayotakana na umeme inaweza kuwa converted to any form of energy na ikawa na same efficient. Ila ujue huku Tanzania ukisoma physics advance unasoma vitu vingi sana wanaoendelea kusoma engineering huko mbele vingi vinakuwa révision haswa kwa mwaka wa kwanza . Kwa unachojaribu kusema kua kilo kumi ya pamba ni nyepesi kuliko kila kumi ya mawe which is totally wrong
Ni kwa sababu akili yako inakalili,kama nyinyi wenye GDP kubwa mlileta vitu vya ajabu sisi wenye GDP ndogo tutawezaje kuwa na modern na first class.Tutaanza operation lakini tutakuwa Bora zaidimimi nilikua natarajia kichwa kama nyoka... kumbe tu ni Fuso ndo tunaletewa.!🤔 makosa sana. hapo tumechezwo View attachment 2283728
vs
View attachment 2283735
Endelea kujifarijibut this👇🏽 one is 10× better thanView attachment 2283771
this Fuso over here👇🏽View attachment 2283772
Dah bro mi sio engineer lakini physics naipenda , kwa hiyo huwezi niyumbisha kihivyo kwenye physics . Hapo hilo wrong mkuuelectric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..
by da way we had a physics lecturer here... where is he nowdays.. angekujibu mara tht!
nakwambia iko na kichwa kama ya Fuso ama Isuzu cxz, lakini naona bado una try kubisha....Ni kwa sababu akili yako inakalili,kama nyinyi wenye GDP kubwa mlileta vitu vya ajabu sisi wenye GDP ndogo tutawezaje kuwa na modern na first class.Tutaanza operation lakini tutakuwa Bora zaidi
Leta numbers wacha mihemko wewe nursePorojo hizi
Diesel runs the world heaviest engineselectric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..
by da way we had a physics lecturer here... where is he.. angekujibu mara tht!
and infact all EarthMovingEquipments, all LongDistanceTracks and Trailers on transit use diesel and not even petrol, then how about electric energy in heavy multi tonne haulage!?🤔 yafakari hayoDiesel runs the world heaviest engines
Nimekaa moro maraa kadhaa nikaingia hapo samaki samaki, nikapitia Sokoine uni na uluguru mountainsIs better , just explain to your fellow kunyan , wanadhani Moro ni small town . Ni sehemu kubwa sana moro pia ni njia panda ya kuelekea southern Highland iringa , mbeya na mikoa mingine na kwenye central Dodoma , singida na kwingineko . Ukiwa moro hata usiku unaweza kwenda mwanza ndio uelewe Moro uwa usiku kama mchana . Uwa panakuwa na mishe mishe sana
Hii ujinga wa kulazimisha mambo utaacha lini bongolala? Ni wapi nimetaja kwamba Tanzania ina magari nyingi kushinda Kenya? Can you prove these claims?Asante kwa kukubali kwamba Tz ina petro stations nyingi kuliko Kenya na pia kukubali kwamba Tz ina gari nyingi na vehicles nyingi kuliko Kenya, asante sana.
Mbona upo Morogoro ya 1960sDanganyika SGR is doomed to fail, its just a matter of time.
There is no way somebody will convince me that there is huge cargo+passengers to warrant SGR train between this dusty town of morogoro to dar-is-a-slum View attachment 2283909
sijui nta tumia lugha gani kukueleza kua tunawazidi kwenye kila takwimu. idadi ya magari ikiwemoAsante kwa kukubali kwamba Tz ina petro stations nyingi kuliko Kenya na pia kukubali kwamba Tz ina gari nyingi na vehicles nyingi kuliko Kenya, asante sana.