joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hapa ninakubaliana na wewe 100%Huu ni upuuzi na hamtapata customers. Hamuwezi kucompete na Qatar na Emirates on pricing. Upuuzi kama huu ndio ulinilazimisha kutumia emirates badala ya KQ japo nilitamani kutumia KQ kwa sababu ya uzalendo lakini bei yao ni ya upuuzi. Air ticket ya KQ ilikuwa double the price ya Emirates. Yaani hata kama wewe ni mzalendo vipi, huwezi kutumia ATCL au KQ wakati kuna air ticket ambayo ni cheaper by 50%. No wonder airlines zetu zitaendelea kufeli na za Waarabu zitaendelea kufaulu. Pricing is everything.
Wajinga hao mungiki,wakifika issue zao za kibaguzi wapotezeeBado unaendeleza hisia za kikabila ulizozaliwa nazo, sio sisi tunawaona Watz bali ni Watz waliozaliwa Tz unataka niwaone sio Watz wakati wamezaliwa Tz we fala nn, unataka mm nifanyeje, nimpeleke Dubai wakati kazaliwa Tz? Peleka ukabila wako kwa mama ngina tafadhali.
Kwa nauli hizo kuna watu watakua wanalisabotage hilo shirika kwa manufaa yao
Kuna vitu ni vibaya kwenye jamii mfano mtoto mwenye mimba kuruhusiwa kurudi shuleni, but I wonder why Tanzania tulirudisha hili.hii ni aibu sana kama taifa
Wangekuwa wamesoma wasingekubali kutawaliwa kama mbwa namna hiyo since independence.Hao ndio waliosoma zaidi hii Kenya na ni werevu sana.
Hiyo sasa hivi haipo ata ya zamani ilikuwa inakaliwa middle class citizenTuletee ile mbagala diamond aliimba, " tatizo kwetu mbagala"
BRT ya mbagalaHivi huyu anaichukulia mbagala poa kihivyo hajui kuna hadi BRT system ambayo haipo kwenye sehemu yoyote ile Kenya hata CBD ya Nairobi haina.
Njaa mbaya Sana, karne hii bado Kuna watu chakula ni tatizo, kweli Afrika tuna safari ndefu SanaWakiwa humu sasa. Hehe utadhan wanakula zaid ya mara tatu kwa siku, angalien kwanza hizo afya zao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, hahahahaMzee! Punguza! Fanya kazi, tafuta pesa usaidie familia yako na wewe mwenyewe. Sisi sote no watanzania bila kujali rangi za ngizo zetu! Ushahidi huko arabuni mbona wanaongea kiswahili Sana na wanajigamba na asili yao ya Tanzania.
Tafuta hela! Acha kulia lia tu!
promise, ntaweka kichwa tu.! mara moja tu☝🏽 ...........
Hakuna hata 1 inch ya lami. 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji23][emoji23]MBAGALA
Source:MoizView attachment 2283749View attachment 2283750View attachment 2283752View attachment 2283753
Wivuuuuuuuuuui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]Danganyika SGR is doomed to fail, its just a matter of time.
There is no way somebody will convince me that there is huge cargo+passengers to warrant SGR train between this dusty town of morogoro to dar-is-a-slum View attachment 2283909
Hahahaha, huu wivu ulionao unaweza kuzalisha sumu Kali zaidi ya sumu ya Cobra. Tatizo ni SGR yenu ya kizamaniii au ni kwasababu iliishia porini?then ni ya abiria pekee, na wala haitobeba mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na zambia... ata tazara ni afadhali mara mia. recovering wht was injected will not be easy, ask Tony..
now this is wht i was discussing with u about.... this is wht is usually reffered to as the best example of an authentic white elephant project
Hiyo inaonyesha ni jinsi gani ulivyokua mjinga na mpumbavu. Wakenya wengi hizi social media ndio zimewafungua macho, mlikua wajinga Sanasi niliwaambia nyinyi wabongo huaga mnatufuatiliza sana sisi kenyaland... najua wengine mtakana, lakini huo ndo ukweli wa mambo. was it not for this thread, swear i bearly knew nothing bout' tanganyika
Lindi ,Moro na Tabora inaweza ikatoka mikoa mingine humoOld map ya Tanzania.
View attachment 2283974
- Hii Rwanda na Burundi zilikuwaje zikawa nchi? [emoji3] zingekuwa tu mikoa ya Tanzania
- Mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno, unatakiwa ugawanywe.. nadhan haigawanywi kwasababu sehem kubwa ya Morogoro imeshikiliwa na mbuga za wanyama mfano Mikumi NP na Nyerere NP au Selous Game Reserve
- Dar es Salaam ni kadogo lakin ndo jiji baba lao
New map of Tanzania
View attachment 2283978
Magufuli alitaka mkoa mwingine wa Chato ndani ya Geita!Old map ya Tanzania.
View attachment 2283974
- Hii Rwanda na Burundi zilikuwaje zikawa nchi? 😀 zingekuwa tu mikoa ya Tanzania
- Mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno, unatakiwa ugawanywe.. nadhan haigawanywi kwasababu sehem kubwa ya Morogoro imeshikiliwa na mbuga za wanyama mfano Mikumi NP na Nyerere NP au Selous Game Reserve
- Dar es Salaam ni kadogo lakin ndo jiji baba lao
New map of Tanzania
View attachment 2283978
So? NikusaidiajeMagufuli alitaka mkoa mwingine wa Chato ndani ya Geita!
Uone pumba za Busara zake!So? Nikusaidiaje