Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hizo restrictions za Uchina ndio zinafanya rate kupanda hivyo? Aisee Wachina wanazingua sana.

Ndio shida hizo, Kuna restrctions ngumu sana na unatakiwa utransit mara moja tu ndani ya muda maalumu toka umepima Covid na kupata ile green code ili upande ndege, Mfano ukitoka Dar una transit Amsterdam kama utachelewa au muda umeisha ujue unarudishwa Dar unakuja kuanza upya.

Hapa kwenyewe ili upande ATCL kwenda Guangzhou ni lazima ukae Quarantine siku sita kabla ya kusafiri na eneo la quarantine watakupangia ATCL wenyewe . So kusafiri sasa hivi kwenda China ni mateso. Na ukifika kule wanakutafutia eneo lingine la quarantine kwa muda kulingana na Sheira zao. [emoji1787]

Imagine kabla ya China Kufunga mipaka yake March 2020.

Hii ilikua rate ya Kwenda na kurudi Guangzhou na Mwanafunzi anapata Discount ya almost 100 Usd.


 
Kumbe ndiyo maana tickets zinapatikana HQ.
 
Wakiwa humu sasa. Hehe utadhan wanakula zaid ya mara tatu kwa siku, angalien kwanza hizo afya zao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa Wakunya wa humu wanajaribu kukapaka lipstick kanchi kao lkn kanchi kenyewe kananuka, ushuzi huwezi kuupulizia perfume usinuke, majolity kunyans wanawaumbua minority kunyans wa JF, aibu sn 21st century watu wanaandamana kisa unga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Point to note: Majolity kunyans wanaandamana kisa unga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna uwezekana mkubwa sana kwamba the next prime minister wa Britain atakuwa ni Muhindi (British citizen of Indian heritage). Kuna kadhaa ambao wanagombania hicho kiti cha prime minister.
 
Kumbe ndiyo maana tickets zinapatikana HQ.

Kwa sababu wasafiri wanajulikana[emoji1787], ni segment ndogo, Chinese Nationals only na few Govt officials going to China, Mfano watumishi wanaoenda kukagua mitambo ya JNHEP, TRC, Watu wa Geothermal, na Tanesco ndio naeona wanaenda.

Kwanza Wachina wenyewe wanaona bei ndogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Hahaha eti kaushuzi? Wewe sijui Wakenya walikukosea wapi?
 
Ni anayetumia laki6 au anaepata laki6?embu nisaidie hapo..Ni suala na matumizi ya kiwango hicho au mapato
 
Majolity ndo nini wewe mbwa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mal*ya wa Fox News kule USA amepigwa vita na KOT. Hatawahi kutaja Kenya tena maishani mwake. Eti anadanganya kwamba pregnant women in Kenya cannot vote. Ilhali hapa Kenya wakati wa kupiga kura wanawake wenye mimba huwa wanawachiwa wavuke line.
 
Mzee! Punguza! Fanya kazi, tafuta pesa usaidie familia yako na wewe mwenyewe. Sisi sote no watanzania bila kujali rangi za ngizo zetu! Ushahidi huko arabuni mbona wanaongea kiswahili Sana na wanajigamba na asili yao ya Tanzania.

Tafuta hela! Acha kulia lia tu!
 
Kumbe hizo restrictions za Uchina ndio zinafanya rate kupanda hivyo? Aisee Wachina wanazingua sana.
Demand ni kubwa sana this time especially nchi zetu hizi zinazoconnect flight arabuni kuelekea Asia,ulaya na amerika a big reason ni Hijja, pia hii ni high season ya utalii!!tukumbuke dunia ilikuwa kifungoni ndo imefunguka! Twendeni Makkah😀
 
KOT ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Demand ni kubwa sana this time especially nchi zetu hizi zinazoconnect flight arabuni kuelekea Asia,ulaya na amerika a big reason ni Hijja, pia hii ni high season ya utalii!!tukumbuke dunia ilikuwa kifungoni ndo imefunguka! Twendeni Makkah😀
Qatar Airways pamoja na ughali wa tickets zake movements za june almost zime-double ukifananisha na mwezi uliopita! Wakati wa World Cup sijui itakuaje wazee duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…