Umehamisha goli as you always do baada ya kukuumbua. Tanzania having more stations is no big deal. Didn't you know that nchi yenu ni kubwa kuliko Kenya? Or should we also remind you of that?Heheheheeee kumbe nyie mko na only 1800 gas stations, ona Tz na hii ni report ya kutambo[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2283293
Asante kwa kukubali kwamba Tz ina petro stations nyingi kuliko Kenya na pia kukubali kwamba Tz ina gari nyingi na vehicles nyingi kuliko Kenya, asante sana.Umehamisha goli as you always do baada ya kukuumbua. Tanzania having more stations is no big deal. Didn't you know that nchi yenu ni kubwa kuliko Kenya? Or should we also remind you of that?
Asante sana watu wa Kenya kwa kutuletea sisi watanzania kiswahili.NIFAHARI YETU WATANZANIA KUJIVUNIA LUGHA YETU PENDWA YA KISWAHILI
Niwatakie siku njema ya kiswahili dunianiView attachment 2283310
Hapo Kunyaland hamna tajiri anavuka $500 mln! Kama Kirubi the richest Kunyan alikuwa ana-claim he is worthy 500 mln ila akapatikana na 250mln kwa account after his death, who is Vimal Shah that his BIDCO is struggling in Tanzania!Though Tony254 kuna differing reports like forbes inasema Vimal shah is worth $2B.., (Ksh.200B).., Oxfarm inamuweka(his father) second with networth $750M.,
Daily dose ya Kibabe [emoji28]
Duuh hawa waarabu wamewadinya katika kila sekta hapo tanzania, hii tabia yenu ya kujipendekeza kwa waarabu muiwache bana. Hatuko tena enzi za sultanKuna company inaitwa lake oil ime take over oil business in Kenya, kuna Mohamed enterprises anayemiliki ni tajiri kuliko Bakhressa wa Azam japo mm siamini, kuna Oil com ambayo ndani yake kuna Milkom, and Watercom, kuna Asas, kuna IPP, kuna TRH, kuna GSM kuna Taifa Gas yn hizo ni chache kati ya kampuni kubwa za Tz ambazo nadhani unaona wanapoamua kuwekeza Kunyaland basi kampuni moja inazidi investment yote ya kampuni 500 za Kenya zilizowekeza only $0.5b hapa Tz.
Hapo ndipo watakapopigwa mkataba wa 100 yearskwani wakenya ni vilaza kuendesha hio white elephant project [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tony254 mulirogwa na nani??
View attachment 2283144
What of his assets kilaza? coz liquid cash isn't the only measure of a person's worth.., ndio maana Forbes wana rate Vimal Shah as worth $2B.., why?.., kapingane na akina forbes na Oxfam.,Hapo Kunyaland hamna tajiri anavuka $500 mln! Kama Kirubi the richest Kunyan alikuwa ana-claim he is worthy 500 mln ila akapatikana na 250mln kwa account after his death, who is Vimal Shah that his BIDCO !
Anyway, your data still proves my point that Kenyans of Asian origin are much poorer than Tanzanians of Asian or Arab origin, at the very top of the wealth scale. It is an indusputable fact that Tanzania has huge racial wealth disparities compared to Kenya and your data proves my point. Because even the Kenyans of Asian origin you have posted there are much poorer than the ones in Tanzania so my point still stands on this issue of racial wealth disparity. Tanzania suffers from a bigger problem of racial wealth disparity than Kenya.Vimal Shah is not the richest man in Kenya, he is second, courtesy of his father Bhimji Shah according to available data., what makes Kenya above Tz, it has the biggest and growing middle class than any other country in East and central Africa.., pia kuna data showing..,
Diesel imepanda bei gharama za uendeshaji zimekuwa kubwa.[emoji23][emoji23][emoji23] mchina [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
View attachment 2283155
Leta evidence hamna Mkunya ana-cross 500 mln!What of his assets kilaza? coz liquid cash isn't the only measure of a person's worth.., ndio maana Forbes wana rate Vimal Shah as worth $2B.., why?.., kapingane na akina forbes na Oxfam.,
Na ukiona akina Chongchung, samaboy na 007 wakijigamba hapa!!.., ila tusichekane, kila mtu apambane na hali yake.Anyway, your data still proves my point that Kenyans of Asian origin are much poorer than Tanzanians of Asian or Arab origin, at the very top of the wealth scale. It is an indusputable fact that Tanzania has huge racial wealth disparities compared to Kenya and your data proves my point. Because even the Kenyans of Asian origin you have posted there are much poorer than the ones in Tanzania so my point still stands on this issue of racial wealth disparity.
Gazeti lenyu pia...,Leta evidence hamna Mkunya ana-cross 500 mln!
Forbes haijawahi kurate Vimal Shah kama dollar billionaire. Kenya haijawahi kuwa na dollar billionaire. Hio $1.6 billion au $2 billion ni mali ya Vimal Shah and family. Yaani wealth ya familia ya shah including baba yake Bhimji shah. Hii ni article ya 2013 na ipo very clear that hio family business ilikuwa worth $1.6 billion in 2013 na hawajasema wealth ya Vimal Shah mwenyewe. By the way just for your information, forbes ilishindwa kuvalue wealth ya Uhuru Kenyatta as a person kwa sababu hawajui Uhuru ana-own share ngapi ya family business. The Kenyatta family is very wealthy lakini ni impossible kujua Uhuru mwenyewe ana-own share ngapi ya hio family business. It is the same for Vimal Shah. It is also the same for the Bakhresa family in Tanzania. Soma hapa chini, wameandika vizuri sana "Vimal Shah and family". Hio sio mali ya Vimal pekee kama venye unasema.What of his assets kilaza? coz liquid cash isn't the only measure of a person's worth.., ndio maana Forbes wana rate Vimal Shah as worth $2B.., why?.., kapingane na akina forbes na Oxfam.,