Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This arabs mnashabikia watz na wakenya wanakuanga na relatives on both sides with houses and properties on both sides, they are smart
 
I was there last year.
Half our GDP, half our revenue, half our paved roads, twice our lands size. But you "dominated East African trade".
Please go on..
 
mkuu point yako ya kwanza kuhusu ajira kwenye masuala ya kuajiri kuna utaratibu na limit ya kuajiri raia kutoka nchi geni kwa foreigner aliyewekeza kwenye biashara
 
This arabs mnashabikia watz na wakenya wanakuanga na relatives on both sides with houses and properties on both sides, they are smart
Sasa wanapojenga maviwanda makubwa makubwa unadhani wanafaidika peke yao?

Hao waarabu wanaojenga viwanda hapa hapa na wazungu wanaochukua mali kwenda kufaidisha viwanda vyao na wananchi wao bora nani mkuu?
 
Kwamba una akili kuliko Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Hapa umezingua mkuu, umejikweza sana.
 
I was there last year.
Half our GDP, half our revenue, half our paved roads, twice our lands size. But you "dominated East African trade".
Please go on..
Lia pole pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa wanapojenga maviwanda makubwa makubwa unadhani wanafaidika peke yao?

Hao waarabu wanaojenga viwanda hapa hapa na wazungu wanaochukua mali kwenda kufaidisha viwanda vyao na wananchi wao bora nani mkuu?
Wewe ukidhani ni mtz yeye haoni mipaka ya kenya na tz anaangalia tu hela, mfano huyu wa lake oil akona ndugu mombasa mkenya whose also a director in the business, ni wajanja
 
Hiyo sio akili ya waarabu pekee bali ni akili ya matajiri wote duniani, pesa kwanza.
 
This arabs mnashabikia watz na wakenya wanakuanga na relatives on both sides with houses and properties on both sides, they are smart

Mtu yoyote aliyekuwa ndani ya Tanganyika wakati Tanganyika inapata uhuru anatambulika kama Mtanganyika.
Huo ubaguzi na ukabila unaowatafuna ubongo bakini nao huko.

NB; Tanzania hairuhusu uraia pacha.
 
Wewe umeelewa kile nimesema, nani ni raia pacha hapo, hao wenyewe wanajiita waarabu
 
Me nawapa likes maana kuna sehemu mnanigusa na kuongea ukweli japo mnatofautiana kwenye mawazo.

Mawazo yenu ni mazuri. Mjadala uendelee!!
Ni mtifuano haswa! Wanaandika Gazeti lenye 12 pages!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…