[emoji846][emoji846][emoji846][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji110][emoji110]Yani Tz inawanyima usingizi kweli kweli, yameona yaige bus za BRT Tz alafu yakaongopewa ni electric, nawaambia igeni vyote ila mkae mkijua BRT ni system iliwapasa muanze kuiga miundombinu kwanza ya BRT kitu ambacho hamtakaa mfaulu mana ka Nairobi hakafai kuweka infrastructures za BRT labda mkabomoe kote muanze upya, wenzenu tulikuwa na mipango ya miaka 500 mbele ndiyo maana ni rahisi kuweka BRT system.
Btw hizo buses c mnajenga wenyewe? Imekuwaje tena muitoe bandarini wkt buses za Tz mnatengeneza nyie alafu mnazipakia kwenye meli inayotoka ulaya zen mnazileta Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Heeh mmeachana na BRT mara hii?
nyie ni poor country tu kama nchi nyingine usijidanganyeKenya sio nchi masikini sana na vitu vidogo kama baa la njaa tunastahili kuwa tumelimaliza by now. Hilo ni jambo kidogo sana kwa serikali ya Kenya yenye budget kubwa kupindukia. Budget ya Kenya ya $31 billion ni kubwa kushinda budget ya Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja. Sasa sijui tunashindwa vipi kumaliza njaa.
Mnamalizaje njaa wakati majority hawana ardhi ya kulima chakula? Angalia suala la masai baada ya msako wamerudi Kunyaland!Kenya sio nchi masikini sana na vitu vidogo kama baa la njaa tunastahili kuwa tumelimaliza by now. Hilo ni jambo kidogo sana kwa serikali ya Kenya yenye budget kubwa kupindukia. Budget ya Kenya ya $31 billion ni kubwa kushinda budget ya Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja. Sasa sijui tunashindwa vipi kumaliza njaa.
Heheheheeee kumbe nyie mko na only 1800 gas stations, ona Tz na hii ni report ya kutambo[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti lake Oil imetake over oil business in Kenya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni kichaa.
Lake Oil has a total of 40 gas stations in a country with more than 1,800 such stations. Hiyo ndio kutake over??
mnajengewa vitu local low standardUtaumia sana mdanganyikaView attachment 2282878
Kuna company inaitwa lake oil ime take over oil business in Kenya, kuna Mohamed enterprises anayemiliki ni tajiri kuliko Bakhressa wa Azam japo mm siamini, kuna Oil com ambayo ndani yake kuna Milkom, and Watercom, kuna Asas, kuna IPP, kuna TRH, kuna GSM kuna Taifa Gas yn hizo ni chache kati ya kampuni kubwa za Tz ambazo nadhani unaona wanapoamua kuwekeza Kunyaland basi kampuni moja inazidi investment yote ya kampuni 500 za Kenya zilizowekeza only $0.5b hapa Tz.
Sijui kwa nini unajiona wewe ni mwerevu kushinda World Bank na IMF.
mnajengewa vitu local low standard
Huyu baba alikuwa mnafiki hapo zaidi ya $1 bln ikipelekwa Chato bila kupitishwa na Bunge! Plan ikiwa kumega Kigoma na Kagera. Saahii kuna migogoro huko!
naona umeamua kupigilia misumali mkuuKuna company inaitwa lake oil ime take over oil business in Kenya, kuna Mohamed enterprises anayemiliki ni tajiri kuliko Bakhressa wa Azam japo mm siamini, kuna Oil com ambayo ndani yake kuna Milkom, and Watercom, kuna Asas, kuna IPP, kuna TRH, kuna GSM kuna Taifa Gas yn hizo ni chache kati ya kampuni kubwa za Tz ambazo nadhani unaona wanapoamua kuwekeza Kunyaland basi kampuni moja inazidi investment yote ya kampuni 500 za Kenya zilizowekeza only $0.5b hapa Tz.
Sasa jiulize ikiwa wewe unaekaa west Pokot na umeiona Lake Oil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I've seen Lake Oil cylinders in like 1 petrol station.
Never heard of any of the others.
They must collectively control like 0.0001% of the Kenyan market.
Hawa waarabu msiwashabikie sana hawananga mipaka, mfano huyu lake oil akona mandugu huku kenya pia hawa waarabu wa mombasa wakona relatives tz, they are smart hawaangali mipakaKuna company inaitwa lake oil ime take over oil business in Kenya, kuna Mohamed enterprises anayemiliki ni tajiri kuliko Bakhressa wa Azam japo mm siamini, kuna Oil com ambayo ndani yake kuna Milkom, and Watercom, kuna Asas, kuna IPP, kuna TRH, kuna GSM kuna Taifa Gas yn hizo ni chache kati ya kampuni kubwa za Tz ambazo nadhani unaona wanapoamua kuwekeza Kunyaland basi kampuni moja inazidi investment yote ya kampuni 500 za Kenya zilizowekeza only $0.5b hapa Tz.
Sasa jiulize ikiwa wewe unaekaa west Pokot na umeiona Lake Oil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania kuna kampuni kutoka Kenya zaidi ya 600 na zimewekeza only $0.5b unaweza kuona ubabaishaji wa Wakunya.naona umeamua kupigilia misumali mkuu
Sasa jiulize ikiwa wewe unaekaa west Pokot na umeiona Lake Oil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilio chako hiki ungekiandika 2005 kushuka chini kingeleta maana but now ni 2022 bro and as we speak Tanzania dominates East African trade, lia pole pole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]In contrast on my last trip to Arusha and Moshi, close to 50% of the FMCG products I saw on supermarket shelves were Kenyan.
Either original Kenyan brands like Farmers Choice, or made in Kenya products by companies like Unilever.
Me nawapa likes maana kuna sehemu mnanigusa na kuongea ukweli japo mnatofautiana kwenye mawazo.So, RKelly is a teenager and he had consensual sex with minors? He’s in prison because he’s a sexual predator, and such people are one of the reasons teen girls get pregnant! He’s an adult who had a lot of money, charisma, and influence, enough to manipulate his victims! So he’s different from a regular teen boy still living under his parents’ roof!
And it doesn’t matter when this policy was first used. It’s ridiculous! And yes, punishments should be reasonable. Would it be sensible kunyongwa Kwa makosa ya barabarani?
And is that school in Iringa designed for all pregnant teens all over the country? You haven’t answered so many of my questions! Don’t leave any gaps.
Kilio chako hiki ungekiandika 2005 kushuka chini kingeleta maana but now ni 2022 bro and as we speak Tanzania dominates East African trade, lia pole pole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]