Kwani huyu jamaa huwa ana shida gani kichwani? Chuki yake ni kwanini Magufuli alianzisha ujenzi wa reli.Iyo testing inafanyika dar moro alafu uko apa unaongea matope
Aisee kwa kweli sijui maana kuna upinzani kweli kuna watu hawataki maeneo yao kumegwa hasa mkoa wa Kagera.Kulivyo polluted na nguvu kinzani unafikiri mchakato utaendelea?
Kama ndio hiyo takwimu bado ni ndogo sana. Kodi ya majengo nayo bado hawajaweza kuisimamia vizuri wanapoteza pesa nyingi sana.Kuna takwimu zinasema watanzania 3.8M tu ndio wanalipa kodi...yani uchumi wetu sio standard kabisa,ziko nyanja nyingi zinazalisha pesa alafu wanashindwa kuokota uko kodi ..wale wataalamu wa mambo ya uchumi hapa hua mnasemaje? Ndio wanafaa kufanya rebasing ili waweze kuziingiza izo nyanja ama vp...kiki sifahamu mambo ya uchumi
Hospitali kubwa ambayo haina hata PET CT Scan, nchi mzima iko Muhimbili pekee. π€£ π€£ π€£ Hospitali zenu hazina vifaa. Those are big dispensaries with beds for accommodation.π€£π€£π€£ Peleka upuuzi mbele wewe, nje ya DAR kuna Hospitali kubwa (hata ndani ya Nairobi huwezi pata) zenye facilities za kutibu magonjwa makubwa
PET Scan Ocean Road HospitalHospitali kubwa ambayo haina hata PET CT Scan, nchi mzima iko Muhimbili pekee. π€£ π€£ π€£ Hospitali zenu hazina vifaa. Those are big dispensaries with beds for accommodation.
Wacha kurukia mada bila kusoma previous posts.PET Scan Ocean Road Hospital
sasa mimi nimekosea nini Muhimbili si Ocean Road Hospital na hapo juu umesema Muhimbili tu ndo kuna PET Scan!Wacha kurukia mada bila kusoma previous posts.
It's an affiliate of Muhimbili, anyway tulikua tunaongelea nje ya Dar.sasa mimi nimekosea nini Muhimbili si Ocean Road Hospital na hapo juu umesema Muhimbili tu ndo kuna PET Scan!
Ocean Road Hospital ni autonomous National Cancer InstituteIt's an affiliate of Muhimbili, anyway tulikua tunaongelea nje ya Dar.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Si mpaka waje mkuu. Maana unaweza ukawa unaangalia JF kama Tv kuona kama watatokea. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah! Inawezekana kabisa.Kuna baadhi ya media zinaumiliki Kwa mbali kutoka huko nje na pia baadhi wa Watu wa juu wanatoka nje huu hivyo ku influence vitu kama hivyo ni rahisi.. Inaweza pia ikawa ni bahati mbaya tu au makusudi.
Ocean Road Hospital ni autonomous National Cancer Institute
Historical Background - Ocean Road Cancer Institute
This health facility is one of the oldest health institutions in Tanzania having been founded in 1895 by the German colonial government. At its inception the hospital catered for German community only. In 1920. After the world war I, the British colonial government followed the footsteps of...www.orci.or.tz
Aisee [emoji849][emoji849]Hahaha punda huyo wananchi wanajikatia mapande ya nyama wakasafishe damu kuondoa sumu ya sukuma daily
Anything too much is harmful [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2281841View attachment 2281843
Wanaitwa propesa, comedy ya Kenya hua top tier. ππ€£
Wanajadili na kutoa hoja sio tu za kitoto Bali wamekosa ufahamu wa kitu wanachojaliKilio twitter kimeanza bado JF
Kwenye mkutano ikulu Dar leo wakati wa kuwapongeza Tanzania women team inayoenda world cup.Tanganyika pakers ni pazuri na pana ample space .na pia..itafanya ile kawe road iwe 2x2 na brt phase 6 ijengewe haraka...amesema wapi?
Indoor na football stadium za Dodoma zote nane nane kasema.[emoji1][emoji8] safi.. the fact that kashauri hivyo it means zinaenda kujengwa kweli.. but still nawaza kuhusu Dodoma stadium.. stadium kaizungumzia leo?
Wapi wamekosea?Wanajadili na kutoa hoja sio tu za kitoto Bali wamekosa ufahamu wa kitu wanachojali