kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Tanzania sisi tunashobokewa tu mataifa ya Mabeberu kwa ajili ya Ujamaa wetu, that's all.
Sisi ni moja ya less than 3 countries in Africa in terms of food security na export ya chakula. Yaani kipo kingi mpaka cha kuuza.
Ujamaa wetu ndio umefanya mpaka Nyerere amefichwa kwenye ranking na viongozi wengi average tu kama Mandela.
It's ridiculous kufuatisha most of these statistics and ranks.
Hata haikusumbui kwamba licha ya sisi kuzalisha umeme nyingi kuwaliko, bado mtauuzia hiyo yenu kidogo that you generate?Lazima mnunue umeme Tz sio kwa kutaka ww bali ni serikali yako, bila hivyo viwanda vyenu vyote vitakufa.
Tulia, Kenya iko ligi ya juu hapa Africa. Yani hadi Uganda inawapiga kitu.Mmeanza kuiga misemo yetu sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poorest inayojenga infrastructures za gharama kuliko infrastructures zinazojengwa na nchi zote za EA combined [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Typical Tanzanian reasoning.
Mashida yote ya Tanzania imeletwa na Wakenya na Wabeberu. It's never you.
Nyerere alifanya yepi, isipokuwa kuwacha Tanzania fukara. Nchi yenye maliasili yote ijulikanayo, lakini bado ni one of the poorest in the world.
Waongezee na hizi hapa. Tanzania inawanyima usingizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Poorest inayojenga infrastructures za gharama kuliko infrastructures zinazojengwa na nchi zote za EA combined [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile siku Kenya itakuwa the source of remittance in East African countries like Tz njoo tuongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia, Kenya iko ligi ya juu hapa Africa. Yani hadi Uganda inawapiga kitu.
Kalilie twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyerere ndiye anajenga?
Where is Kenya?, Must be among top 3 [emoji23][emoji23][emoji23]"Back to eating one meal"
And the 23rd most malnourished country in the world, Tanzania, asks, "You guys have been eating more than 1 meal?"
No wonder I've never seen a fat Tanzanian.
View attachment 2280683
Global Hunger Index by country 2025 | Statista
Somalia was bottom of the Global Hunger Index in 2025, meaning that it was the most undernourished country worldwide.www.statista.com
Sio kwa mapenzi yako bali italazimu nchi yenu kununua umeme wa Tz hata ulie haitasaidia.Hata haikusumbui kwamba licha ya sisi kuzalisha umeme nyingi kuwaliko, bado mtauuzia hiyo yenu kidogo that you generate?
Hivi, Dar port inahandle metric tones ngapi za mizigo kwa mwaka? 😂😂@Tony254 ,hivi mizigo ya DRC inayopitia Mombasa ni kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hope this machine belongs to the government where majority of Kenyan go for medical treatment, otherwise it will be for rich few people from any country.Sikuzi we are conquering Africa, battle sijui the the best or the first in East and Central Africa tuliwachia Tanzania, Rwanda , Uganda na wengine wapambane.
Tunagenerate kuwazidi. Na bado tunanunua hiyo yenu kidogo. Alafu ulivo kilaza bado unashangilia, thinking you are better off. Enyewe wajinga ni wengi duniani 😃😃Sio kwa mapenzi yako bali italazimu nchi yenu kununua umeme wa Tz hata ulie haitasaidia.
Those are kenyan professionals trying to help you illiterates because you lack skilled labour. Unaexpect omba omba wa bongo wenye wako Kenya wawashinde kwa remittances. 🤣 🤣 🤣Ile siku Kenya itakuwa the source of remittance in East African countries like Tz njoo tuongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Show us any Kenyan government hospital which has PET scanner machine for cancer patients.And we should mention the machine is headed for a public hospital.
This should be the real Kenya vs Tanzania hospitals comparison. Sio zile empty buildings bongolala huleta hapa.
But you can't perform advanced operations likeFacts, our hospitals are well equipped, that's why we are among the top countries in Africa in terms of health care.
mlima tumerudisha ila jina bado wanacheza nalo 😁Majina yetu yana mvuto kaka.Halafu ilikuwa kipindi kile mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Kujenga barabara au reli haimanishi kwamba taifa ni tajiri, ama kwamba wananchi wake wanaishi maisha mazuri. Utajiri wa nchi kwa kiasi kikubwa huangaliwa na jinsi maishani wa wananchi ilivyo. Sio kwa ile HDI yenu na idadi ya watu who live in extreme povertyPoorest inayojenga infrastructures za gharama kuliko infrastructures zinazojengwa na nchi zote za EA combined [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyerere ndiye alifanya Tanzania kuwa na umoja, hatuna ukabila, rushwa, slums, insecurity Wala utapeli wa ardhi.Typical Tanzanian reasoning.
Mashida yote ya Tanzania imeletwa na Wakenya na Wabeberu. It's never you.
Nyerere alifanya yepi, isipokuwa kuwacha Tanzania fukara. Nchi yenye maliasili yote ijulikanayo, lakini bado ni one of the poorest in the world.
Did you know Tanzania haina any public children's hospital? I thought you should know.But you can't perform advanced operations like
1)Bone marrow transplant
2)Choclear transplant
3)Brain surgery without opening the skull
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app