Etihad airways ilitengeneza loss ya $476 million in 2021.so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Emirates airline, ambayo ni one of the biggest airlines in the world imetengeneza loss ya $1 billion for the year ended March 31 2022.so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Qatar airways ilisuffer a stupidly huge loss of $4 billion in 2021.so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Niendelee au niwachie hapo? Bado unapinga kwamba airline industry ni industry ya kutengeneza losses? Ni upumbavu wa hali ya juu kutegemea kwamba ATCL itatengeneza profit.so kwa vile KQ ina-mint losses basi Air Tanzania ita-make losses sio? Ngoja Air Tanzania iende London na Guangzhou/Bangkok kwanza ndo upige kelele! Sikiliza maoni ya aviation experts..
Wapite kawawa road waingilie pale changombe junction wachepukie jangwani kwenye roundabout ya njia panda ya kigogo.Sasa mkuu pale si njiani,hivi kwa mfano wewe ndio unaishi mtaa wa twiga ukiwa unatokea au unaenda utapita airport njia gani [emoji23][emoji23]
It concerns us maana tunaogopa msije mkatubebesha mizigo kwenye huduma zetu za jamii huko mbeleni.Sasa hio inakuwashia nini? Nchi ni yetu. Mbona nyie mumeamua kujifungia ndani kama mbuzi na hatujawazuia?
sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?Qatar airways ilisuffer a stupidly huge loss of $4 billion in 2021.
View attachment 2277315
Soma zaidi hapa
loss during covid19 sio?Emirates airline, ambayo ni one of the biggest airlines in the world imetengeneza loss ya $1 billion for the year ended March 31 2022.
View attachment 2277314Click link usome zaidi 👇 👇 👇 👇 👇
Emirates Group Announces 2021-22 Results.
Peleka povu zako TandaleWewe ulitaka wapigaji wakale wapi?
Hata huko USA ilibidi serikali ya USA iingilie kati na ku-bail out airline industry baada ya 9/11 terror attack. Serikali ya USA ilitumia a total of $15 billion to bail out the airline industry. Sijui kwa nini unasingizia corona. Hii industry ni ya ujinga. Janga lolote likitokea industry inaanza kutengeneza losses.sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?
I am not alleging anything bongolala, unless you don't know the meaning of that word allegation. I am giving WB dataThat means you want recent data from me, that is not my responsibility, it is you who brought the topic, if you can't get them, that means your allegations don't hold water.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu ni wivu ndio unaokutawala, Mashirika mengi imara yanaendeshwa kwa faida ukiacha vipindi maalum Kama kipindi cha Corona, jirani yenu Ethiopia ni mfano mzuri.Niendelee au niwachie hapo? Bado unapinga kwamba airline industry ni industry ya kutengeneza losses? Ni upumbavu wa hali ya juu kutegemea kwamba ATCL itatengeneza profit.
Biashara zote duniani no ngumu, lazima kujipanga, Kenya kila biashara ya serikali inashindikana, Uchumi supermarkets, Mumias sugar, Galana Kulalu, Metre gauge railway. The list is endlessNi nature ya hio industry. Sio mambo ya KQ. Industry ipo hivyo. Most of hizi airlines huwa zinapata losses. It is a fragile industry.
Uwache ubishi wakijinga, umeandikiwa 6yrs in a row alafu bado unasema corona. Jf wangeleta option ya ku downvote stupid comments zisionekane kabisa.sasa unalinganisha na KQ ime-make loss miaka 10 na airline ime-make loss kwa sababu ya corona! Huwa nashindwa kukuelewa at times! Wewe ni mtu wa finance kweli?