Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pamoja na kumshambulia kwa chuki zako lakini Mwigulu amefanya vizuri sana kwenye Management ya Uchumi,hilo la Uchumi kufika 7% utafika tuu kama kawaida..

Kwa hiyo sio sawa kwamba eti Kisa kapunguza Kodi kwenye huduma yenye inelastic demand ndio useme kila kitu sasa alichofanya ni rubbish..

Trial and error zimekuwa zinafanyika sio tuu na Mwigulu bali na Mawaziri kibao tuu waliopita..

Mwisho wewe ulitaka ateuliwe nani unaeona atafaa?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220626-173424.png
    158.6 KB · Views: 18
1]Nairobi wanapenda kuvaa suti ata jua kali, Dar-es-salaam wanapenda kuvaa kimarekani,2] watu wa Nairobi wanatembea harakaharaka kama wanaachwa na ndege lakini wa2 wa Dar-es salaam wanatembea taratibu kama wana malaria 3]Nairobi wanapenda sana kuongea kiingerza,dar kiswahili 4]Nairobi wanakula ugali kwa sukuma wiki,dar ugali maharage/dagaa 5]Nairobi wa2 ni wesi sana,Dar wana weusi wa kadri na rangi ya kahawia,,,MWISHO kabisa,wa2 wa NAIROBI wanaogopa AL-shabaab mno,wakati wa2 wa dar ata ubalozi wa MAREKANI ulipolipuliwa ndo kwaanza wa2 walikimbilia kuangalia kama kuna fursa yoyote waibe wasepe....
 
Aliwezaje kumtoa Ndugai kama ni ceremonial? Kwenye wizara ile anahitaji nguli wa economics na si mtu wa mentality ya kuombaomba tu!

Kwa taarifa yako atashinda 2025 na kitu ambacho kinanitia wasi ni jinsi ata-handle uchaguzi Zanzibar!
Huo mfano wa jobo ni mdogo,ungemwambia inakuaje ceremonial leader aamuru kuhamishwa Masai,si walikuwepo miungu watu mbona walishundwa?

Sio tuu atashinda bali atashinda kwa kishindo saa 3 asubuhi.
 
Unaweza pendekeza hata mmja unaeona ana uwezo?
 
Una uhakika na unachoongea? Unaweza wataja hata watatu unaona ni wabovu?

Kukosa maono ni kupi na hapo awali kulikuwa na maono gani? Bainisha badala ya kuongea jumla jumla tuu ilhali the economy is performing.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-071056.png
    122.9 KB · Views: 19
Wapi ambapo Mwigulu alisema watachukua mikopo bila kuangalia uwezo was kulipa? Acha chuki binafsi,wewe huwezi teuliwa kuwa FM huo uwezo huna wala hiyo fani hujasomea..

Rais alishafunga mjadala kwenye mikopo na alisema Nchi itakopa mikopo ya concessional kwa ajili ya miradi sasa hizo porojo zenu mnazitoa wapi?

Next FY pesa za kulipa madeni ni Kubwa kuliko madeni mapya yatakayochukuliwa..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220626-111555.png
    117.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220626-111729.png
    52.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220626-111629.png
    58.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220626-111644.png
    53.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220626-111812.png
    84.5 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…