Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mhhh bro hebu sometimes try to be serious😀😀😀😀😀
sawa mzee..
emoji23.png
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
sawa mzee...itakua mimi mjinga lakini wewe mjinga zaidi kunishinda...ama umesahau ulivyojiaibisha hapo awali na mambo ya renders...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ukakaukiwa na hoja ukaanza kubwabwaja maneno kana kwamba sijui umerogwa ukirudia rudia povu,renders,hasira
emoji23.png
renders ziko palepale na hakuna alieleta evidence mwenzako kapost picha nimecheka nusu kuanguka
so ndoto za alinacha zitawaua😀😀😀😀😀😀😀😀😀
nyie subirini investor avic amalize tu alaf munayamaze sasa maana hakuna jipya
 
yaani tulkua tumechoka na kuleta hizo picha.... ila bila ya kudanganya hizo project zote ulizoziona ziko tayari zinaendelea...na niliona kuwa una Iphone sijui umeshindwa kupiga search Google ama ulkua unataka tu kutuchokoza?...

Yanajengwa kujengwa. Wewe endelea kupost sijui Mzizima
 
render ipi,hii?...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
http%3A%2F%2Fi2.cdn.cnn.com%2Fcnnnext%2Fdam%2Fassets%2F170623103508-pinnacle-night.jpg
Pinnacle1.jpg

Montave
01.jpg
rooftop1.jpg

Avic International
28430406153_73df7f5b49_c.jpg
avic-use-this-960x608_c.png

2016_Pazzo%20_01.jpg
3N.jpg

[/QUOTE]
yap hiyo...unataka nikulete progress ya hizo renders?
emoji23.png
emoji23.png
yaani umejipiga risasi miguuni...heri ungeleta renders zingine...project zote hizo ziko mbioni...
 
yaani tulkua tumechoka na kuleta hizo picha.... ila bila ya kudanganya hizo project zote ulizoziona ziko tayari zinaendelea...na niliona kuwa una Iphone sijui umeshindwa kupiga search Google ama ulkua unataka tu kutuchokoza?...
emoji23.png
emoji23.png
Hao hawana ata plans bana. wanaongea na machungu
 
ila kwasababu actions speak louder wacha nijitume niwaletee progress report...
avic hii hapa
CdGPNVwXIAQ6OEx.jpg
DEcJDxwWAAAO6go.jpg
 
mbona mnahangaika sana?.[emoji23] [emoji23]
nilijua tu ni utani wenu nyie wabongo...kumbe ni hoja hukuwa nayo...ndio ukaanzza kuimba imba renders
emoji23.png
emoji23.png
...haya basi next time dont compare dar to the mighty Nairobi..ama utaluletea barabara za murram
emoji23.png
emoji23.png
 
mwingine baada ya kukosa hoja akaanza kuwaomba watu walete picha za simu zao ili ahakikishe ni Iphone7..
emoji23.png
emoji23.png
 
kwa kuwa wakenya mnapenda sana render images, nawaletea render za NHC(national housing corporation of tanzania).

bila shaka zitachangamsha nafsi zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ce316f8da59a6772870937756cae754e.jpg
e6b10c7b85a54c58919bc1b8fa5ac94d.jpg
07003dc57d5eeb9eded4960455da9a2a.jpg
16987f564bf4e7ce2c3b33ae41ba12f8.jpg
c9ec1a58db4de3cb10835b71d8e57c71.jpg
bd8134f2410b3c10f21e36e20c9c73bf.jpg
f286de63e9e711f1907406199a28cf19.jpg
 
Back
Top Bottom