Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upperhill
12009760_41_z.jpg
radison.jpg
 
Inabidi ufanye utafiti wa kutosha, asiwe mkenya au mtanzania. Mtafiti akae Nairobi kwa mda wa kutosha na Dar kwa mda wa kutosha kisha alinganishe. Mimi ni mtanzania lakini Nairobi ipo juu ni vichache vya kulinganisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yet bado tuko na bigger economy na our civil servants are paid better. Ata NGO workers
bigger economy ya kwenye makaratasi yani economy haifanani na maisha watu wanaishii hapo ndipo napochoka
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom