The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Ili iwe rahisi wazungu kushangaa wanyama wa kibera [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibera kuna dual carriage way inajengwa acha ushamba.
ame sema 'gdp per capita' na wala sio 'gdp' per sΓ©Prove that GDP ya Kenya ni double ya Tanzania nitoke JF sasa hivi.
Plate number imewaharibia hiyo,la sivyo hiyo video ingeshabadilishwa kuwa ya masai mara
Jirani ata-claim hii ni Kunyaland kawa kawaida ndo maana tunawakataza wasilete tour vans zao Tanzania!
Samia asije kufanya huu upuuzi wa kuwaruhusu kuingia mbuga zetu!
Ahsante kwa picha mkuu. Nina siku nyingi sana nimepita huko sikuwa ninajua imeshapendeza hivi, barabara zenye mifereji zimetamalaki. Hongera sana TARURA.Oya we Nicxie Tandale streets [emoji116]nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani [emoji23][emoji23][emoji23] cheki Tandale hii[emoji116] hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa [emoji3516]
Mana sio hata watu ni wanyama ππIli iwe rahisi wazungu kushangaa wanyama wa kibera [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio picha ya mwisho ndo inatisha lakini ubaya ni kwamba hapo ni kampala.
Mbona Karen, Runda na Westlands umeenda mbali sana mzee?Quality ya hizi barabara hata poshy suburbs za Karen, Westlands, Runda Estate na Kileleshwa huwezi pata! Kuna mkunya anabisha? Nimwage mpunga humu?
CC: Coco reborn, kikihboy
Nicxie, Teargas n Tony254
Aiseee![emoji849][emoji849][emoji849]
Wacha kuenda mbali hivyo bongolala.Quality ya hizi barabara hata poshy suburbs za Karen, Westlands, Runda Estate na Kileleshwa huwezi pata! Kuna mkunya anabisha? Nimwage mpunga humu?
CC: Coco reborn, kikihboy
Nicxie, Teargas n Tony254
Alafu mtu anataka kulinganisha Dar na ka Nairobi kwenye concrete jungle hii dhambi ni ya kwenda motoni kabisa, hebu Wakunya wote piteni hapa na msiangalie nyomi ya watu nyie angalieni hilo jungle tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The great Kariakoo, angalien background kweny hii video
So ma star wote wamekuja Tz this time, asanteni Wakenya kwa kuzidi kutuletea watalii mana mlidhani mtatupa kashfa kumbe ndiyo kwanza mmetupa kiki, Mungu akipitisha hakuna wa kupangua. Heheheh hakuna Star hata mmoja aliyeenda kenya kutalii this time [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vs...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
proof?Nyie mko strong kwenye retail banking tuu ila sisi strength yetu ni kwenye corporate banking.
Tandale tu imekufanya umepost hadi barabara za Thika road kweli.? πππBonuses π π View attachment 2273619View attachment 2273620View attachment 2273621View attachment 2273622View attachment 2273623View attachment 2273624View attachment 2273625View attachment 2273626View attachment 2273627View attachment 2273628View attachment 2273629View attachment 2273630View attachment 2273631View attachment 2273632View attachment 2273633View attachment 2273634View attachment 2273635View attachment 2273636View attachment 2273638View attachment 2273639View attachment 2273641View attachment 2273642
Kilaza mwenzako mentioned Runda na Karen to compare with uswazi iitwayo Tandale. I was just trying to put him to his lane. Hakuna posh estate yoyote nimeleta kwenye hizo picha zoteTandale tu imekufanya umepost hadi barabara za Thika road kweli.? πππ
Kwani no uongo kwamba 60%-70% ya Karen ni matope, na hata lami zilizopo ni mbaya.?Kilaza mwenzako mentioned Runda na Karen to compare with uswazi iitwayo Tandale. I was just trying to put him to his lane. Hakuna posh estate yoyote nimeleta kwenye hizo picha zote
Wow! Umenikumbusha nyam chom ya Kamakis πKamakis along Eastern Bypass.