Hii story inakuumiza sana bongolala hadi ukaamua kuandika insha ๐ ๐ ๐Kuhusu suala la beggars wala usipate shida, inajulikana wazi nchi gani ni ombaomba kati ya Tanzania na Kenya, pia mkuu ni nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyowajali wananchi wake? Mamilioni ya Wakenya hawana ardhi, hawana chakula, hawajui kesho yao itakuwaje kwnn wasiwe ombaomba? Yani ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kutoka katikati ya nchi yake aende nchi jirani? Ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kukata pasipoti ikiwa 70% ya Wakenya hawana passport za kusafiria? Sasa hao watakuwa ombaomba au middle class?
Ukweli ni kwamba serikali ya Kenya haijali wananchi wake, 90% ya Wakenya wanaishi maisha ya kubahatisha mno, mnaweza kuona hata humu kwenye huu uzi Wakenya wa humu ambao kwao ndio kidogo wana afadhali, angalia simu tu ya maana kidogo hawawezi ku afford, humu tukileta idadi ya wakenya wenye magari kwenye huu uzi sidhani kama wanazidi wawili huo ndio ukweli, so hii inakupa taswira ya kwamba ombaomba hao ni lazima wawe Wakenya mana hata hawa walio humu pia wengi wao ni ombaomba amini kwamba.
Dar kuna hadi shamba za mihogo ๐ ๐ ๐Kwahyo hili ni pori sindio.?
Unahangaika kutafuta viwanja vinavyouzwa Dar, alafu Angalia hiyo Caren your posh, ilivyo porini ๐๐Dar kuna hadi shamba za mihogo ๐ ๐ ๐ View attachment 2272263
kabisaaNimekutana na hawa madogo katika pita pita zangu kwa kweli nimeumia sana ni Neema kubwaa mno kuzaliwa Tanzania [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mombasa moja hiyo View attachment 2271643
unauwa mzeeNashangaa bado mjini kuna nyumba za udongo[emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2271666
hapo walibugMauwa yameshanyauka! Tayaar! Chezea mchina!
View attachment 2271682View attachment 2271682
Moja Expressway explains why grass has withered on new road
Brown, dusty and withered flowers that were once colourful indicate a failure to care for them.nation.africa
Dah aiseee, serikali ya Kenya ni ya kishetani sn aloo, haya mambo yanaumiza sn wakuu, Wakenya wengi wamepitia haya maisha na ndiyo unaona hasira zao hawa wa humu, ukisikia wakenya wapo ladhi kuchinjana ni kwa ajili ya hali kama hii, mm nawaruhusu kwa roho kunjufu kabisa wauwane tu mwaka huu, haiwezekani wachache wafaidi mema ya nchi alafu majolity waishi kama mbwa.Nimekutana na hawa madogo katika pita pita zangu kwa kweli nimeumia sana ni Neema kubwaa mno kuzaliwa Tanzania [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mombasa moja hiyo View attachment 2271643
Asilimia kubwa ya nyumba za Mombasa ni za udongo mkuu, nyumba nyingi pia ni za kale, ofcoz Mombasa ni mji wa kale.Nashangaa bado mjini kuna nyumba za udongo[emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2271666
Kuna mbwa mmoja anakuambia hii ni physics, kwamba ni uwazi wa kuruhusu expansion and contraction of the structure, mm nawaambia hii itauwa wakenya wengi kama hawatokuwa makini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]Express way ya kunyaland imeanza kuanguanguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 2271464
usisumbue kichwa kuhusu hiliAfu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
- why kusema Tanzanian beggars?
- beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
- does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
- uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
- kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
- Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?
Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Mh ma star wengi wamekuja bongo aisee.
hio sio kikuyu, bali kikamba!kuna jamaa anacharanga Gikuyu kama hana adabu halafu yuko njwii!
Watu wa huko wanaonaga Nairobi mbinguni!Huyo jamaa ni mpuuzi tu, inaonekana yuko bitter na DAR, huenda ni wale vilaza wa Arusha wanaoletaga eti battle ya ARUSHA vs DAR
ebu ona huyu kilaza eti Simon. kwani hawa wanatoka nchi gani.!? kubali tu matokeo masera wangu. ila shida yenu kubwa nyinyi watanganyika humu, mnapenda sana kukana kilakitu ata kama ni more than obvious..Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
- why kusema Tanzanian beggars?
- beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
- does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
- uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
- kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
- Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?
Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Get the difference between green spaces za Karen na hizo pori zenu. Karen was named as one of the best residential areas in the world utalinganishaje na hizo pori za Dar za kupanda mihogo?T
Unahangaika kutafuta viwanja vinavyouzwa Dar, alafu Angalia hiyo Caren your posh, ilivyo porini ๐๐View attachment 2272271View attachment 2272272View attachment 2272273hii si misitu kabisa, humu hamfugi Simba kweli.? ๐๐๐
swali langu tu moja..Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
- why kusema Tanzanian beggars?
- beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
- does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
- uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
- kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
- Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?
Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Mentality ya kukulia kwenye low income suburbs Ndio inakufanya uchukuie mapori. Maeneo yenye miti Mingi kwanza yana hewa safi zaidi, joto la chini, mandhari tulivu na ya kuvutia, pia yana thamani kubwa zaidi kwasababu miti ni resource. Fungua google maps uangalie satellite pictures za Oysterbay na Masaki halafu linganisha na sehemu nyingine za Dar uone utofauti. Maeneo ya matajiri yana miti mingi kuliko maeneo wanayoishi watu wenye kipato cha chini.T