Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What does that mean?
Sipangwigwi maana yake siongopewi, sawa na mtu aseme sipangiki yani hunipangi means huniongopei, unajua wakenya siku hizi wamekuwa wajinga sana mbele ya watanzania, wamekuwa wakikopi kila kitu from Tanzania kuanzia life style mpk jinsi ya kuongea na misemo yote ya kitanzania wanaiga, alafu wanaenda kusema ni yao.
 
Wapumbavu wale, mambo yao ya siasa wanakuja kutuharibia uzi wetu humu.
Kabisa mkuu. Ndio maana mimi nikiandika jumbe zinazohusiana na uzalendo wanaona kama vile natetea ufisadi wakati naongelea watu kuipenda na kuilinda nchi yao kwa moyo wote pamoja na mapungufu yake.
 
If you have decided to come to hostile country, then you must be ready for any eventuality and stop useless allegations and complains.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wapo wengi mno wanapita pale JNIA pia wanawake wa Kenya wengi wanaenda sn Zanzibar kufanya ukahaba kule, wanawake wa Kenya wengi wanapapatikia wanaume wa kizungu wengi wao wanageuzwa mno nyie mtasikia hili bomu wewe ngoja lilipuke mtaniambia.
 
Made in Tanzania.

IMG_8189.jpg

IMG_8188.jpg

IMG_8187.jpg
 
Kwanini mnalazimisha kuja Tanzania?, sehemu ambayo unahisi kwamba wakigundua wewe ni Mkenya lazima wakusumbue unapaswa kuachana nayo usiende huko.

Hii inanikumbusha malalamisha ya waafrika kubaguliwa na kunyanyaswa huko Europe, lakini bado wapo tayari hata kupoteza maisha Yao wakijaribu kuvuka bahari kwenda katika nchi ambazo zinawanyanyasa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hivi huwa ni kwasababu gani? Watu wanapigwa, wanauawa kwa kuzamishwa baharini, wanatumikishwa kingono hadi na wanyama...lakini wapi hawakomi kwenda.

Unajua ni kwanini pamoja na mateso yote hayo bado wanaona hayo maisha ni mazuri kuliko yaliyoko kwenye nchi zao. Kwahiyo hata hawa wa Kaskazini hata tuwatoboe macho hawakomi kuja Tanzania.
 
Sipangwigwi maana yake siongopewi, sawa na mtu aseme sipangiki yani hunipangi means huniongopei, unajua wakenya siku hizi wamekuwa wajinga sana mbele ya watanzania, wamekuwa wakikopi kila kitu from Tanzania kuanzia life style mpk jinsi ya kuongea na misemo yote ya kitanzania wanaiga, alafu wanaenda kusema ni yao.

Nani amekwambia sipangwingwi inamaanisha siongopewi, maana ya hio sheng ni sipangiwi kitu cha kufanya/kusema badala kusema usinipangie tunasema sipangwingwi. Usidakie maneno ya nchi zingine. Alafu ngoma ya Trio Mio ya 'sipangwingwi' ndio ikaifanya ilo neno liwe popular lazy land ukiingia tik tok unaona mapunga ya dar yakiicheza
 
Nilikuwa nasubiri aseme ni wapi ila nikasahau.
Pia na wewe haujui Instanbul? 😂 😂 😂 😂 😂 .., Mombasa town coverage imeuwa Dar town coverage, mwiba hii, Tanzania nchi ya City moja na uchumi hafifu😂😂😂😂
Istanbul, Turkey (Mombasa City).., town area bigger than Dar town area🔥🔥🔥🔥🔥😜😜😜😜😂
1655884773152.png

Dunia ya leo haumdanganyi mtu, ama haupotoshi na vi propaganda.., nje ya Dar kupata such magnificent city itawachukua miaka 1000.., hatufanani mjukuu 😂 😂 😂 😂
1655885317688.png
 
nairobians stereotype bongolalas kaa washamba sana.. bongo nyinyi ni washamba.! nairobi urbanlife is say 30yrs ahead of u pipo. hiyo nayo lazma kieleweke.!

View attachment 2268628
Kwahiyo hayo mapicha picha ndio unaona ni ubora mko juu kuliko sisi. Hizi art signs unazikutaga huku kwetu kwenye vijiwe vya wahuni na siyo officially kwa public.
 
Wapo wengi mno wanapita pale JNIA pia wanawake wa Kenya wengi wanaenda sn Zanzibar kufanya ukahaba kule, wanawake wa Kenya wengi wanapapatikia wanaume wa kizungu wengi wao wanageuzwa mno nyie mtasikia hili bomu wewe ngoja lilipuke mtaniambia.
Waga nikiskia zanzibar ikitajwa huwa na kumbuka zile canter buses naanza kucheka
 
Nani amekwambia sipangwingwi inamaanisha siongopewi, maana ya hio sheng ni sipangiwi kitu cha kufanya/kusema badala kusema usinipangie tunasema sipangwingwi. Usidakie maneno ya nchi zingine. Alafu ngoma ya Trio Mio ya 'sipangwingwi' ndio ikaifanya ilo neno liwe popular lazy land ukiingia tik tok unaona mapunga ya dar yakiicheza
Wewe fala sio sipangwingwi ni sipangwigwi yani sipangiki nyie mliichukua na hamkuelewa maana yake, huo msemo tunautumia miaka mingi since 2004 nipo school nautumia huo msemo. Ukisikia mbongo anasema usinipange hamaanishi usinipangie cha kusema bali anamaanisha usiniongopee. Wewe unaongelea TikTok ya juzi wakati msemo upo tangu 2000s.
 
manake naona unapost uchafu bin ushuzi 😂😂😂😂 siku hzi umekuaje budaa au ndio uzee sasa
Umesahau Dar ndio headquarter ya ushuzi Africa nzima, yaani nikama 90% ya jiji, na wenzake ni Lagos na Kinshasa, Mombasa wachana nayo kabisaa, sio mwenzenu😂😂😂😂😂😂
 
Pia na wewe haujui Instanbul? .., Mombasa town coverage imeuwa Dar town coverage, mwiba hii, Tanzania nchi ya City moja na uchumi hafifu
Istanbul, Turkey (Mombasa City).., town area bigger than Dar town area
View attachment 2268639
Dunia ya leo haumdanganyi mtu, ama haupotoshi na vi propaganda.., nje ya Dar kupata such magnificent city itawachukua miaka 1000.., hatufanani mjukuu
View attachment 2268652
 
hebu ngoja tuzoom tuone ww na mzungu nani mwenye akili zaidi 🤣🤣👇👇👇
1st pic magomeni kagera
View attachment 2268176




another pic mburahati 🤣🤣👇👇
View attachment 2268182





ngoja sasa tuangalie kwann mzungu aliona slums za dunia nzima ila hakuona za tanzania 😂😂😂👇👇👇👇
mavi ya kondooo
View attachment 2268186
Bongolala, stop being desperate. Why didn't you zoom the same pic I posted? Mbona ukachagua picha nyingine? To help lick your wounds?

Listen, Nairobi has slums but in very specific areas like you saw in that Kibera picture I shared.
images - 2022-06-21T133534.389.jpeg
Areas surrounding those slums are well kept and organized, which is a sharp contrast to Dar where Uswazi hovels are almost everywhere you look. Your city is ugly and disgusting coz there's no form of organization/planning.

Lastly, the images you are sweating so much to zoom in are still way worse than most of the areas you occasionally post here as slums.

These are zoomed in images of Githurai which you usually call a slum
Screenshot_20220622-061552~2.png
Screenshot_20220622-061958~2.png


Screenshot_20220622-061259~2.png

And this is Mburahati middle-class area that you zoomed in
FBA0D561-184E-41A4-9C63-6A6AC66B5ADC~2.jpg

Githurai is clearly well planned with straight roads which are clearly visible na nyumba pia ziko kwa laini moja. Is this the same case with Mburahati? Ni wapi uliona slum ambayo imepangwa?
 
Back
Top Bottom