Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kujamba wewe usiwe na tabia za kuitaja DAR kwenye sentence Moja na huo uchafu unaoitwa mombasa coz Masaki + osterbey sina ukubwa sawa na mji mzima wa mombasa. Hiyo mitaa ya Mombasa sijui nyali level yake kapripoint Mwanza 👇
 
Mkuu Kenya ni dampo mkuu, huoni tukiwabana kwenye ma slums wanakosa la kusema kwasababu tunakuwa tumepiga kwenye mshono. Kenya nzima hakuna mji ukakosa slums, nyumba moja ya tajiri Kenya juwa kwamba kuna slums 1000 zimezunguka hiyo nyumba.
Umeandika kwa maumivu mjukuu 😂 😂 😂 😂, ukweli unakutesa hadi basi wishful thinker😂😂😂😂, Sasa nataka leo udhibitishe, tuhesabu nyumba standard vs slumy housing na tulinganishe na Tanzania.., kama Dar ni shanty 90% ina maana kwa kila nyumba moja ya tajiri, utapata nyumba 100,000 za kifukara.., these👇👇👇 types., usijitoe ufahamu wazi wazi ama kujitia hamnazo.., hizi ndio standards.,



Hapa Kenya., matajiri ndio wamezunguka slums kwa wingi, in tanzania Mifukara imezunguka matajiri na CBD kwa upana., iko wazi sana kwa muonekano ata ukitumia google earth kutazama.,

Kibera hapo 👇 kati kati, imezungukwa na standard estates kwa upana na urefu., so The best 007 ., kauli yako potovu unatoa wapi?😂😂😂

Yaani kibera imezungukwa na utajiri inawapea matumaini ya kujituma, mtu akifaulu anaondoka na kujoin the rest doing well., Dar ni hopelessness left right and centre..,
 
Nikikumbuka nairobi niliyokuwa naiona kwenye mapicha iliyopambwa kwa nakshi za filters na niliyoina kwa macho yangu ni vitu viwili tofauti [emoji116][emoji116][emoji116]
Blame poor camera quality and did you knw hazina towers the building with the crane walimaliza kujenga kitambo[emoji23]
 
Hizi ata can't level what Eldoret has, 5th largest town., so tuondolee your insecurities na blind patriotism, unalazimisha kitu hakipo kikue, haiwezekani mjukuu, tuliza kende na uzoee ukweli, ni uchungu najua😂 😂 😂
 
Hizi ata can't level what Eldoret has, 5th largest town., so tuondolee your insecurities na blind patriotism, unalazimisha kitu hakipo kikue, haiwezekani mjukuu, tuliza kende na uzoee ukweli, ni uchungu najua😂 😂 😂
Unanifurahishaga mno 🤣🤣, kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
 
Current hazina towers the building with the crane [emoji23]View attachment 2267441
Huyo tumemnyonga. kama wenzake walio mtangulia humu, kwa sasa wanaweka porojo tunaumbua na facts., Tanzania hakuna cha maana for the debate, wameishiwa, wamebakia kutafuta vitu vilivyo pitwa na wakati kwa mtandao kuponda, but tunawajibu na reality kwa sasa.., the boy must be deluded.,
 
Unanifurahishaga mno 🤣🤣, kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
Hakuna cha kulevel ama nini, ukweli uko vile., mbona tuandike kwa mate na wino upo., level ya Mombasa ni Dar kwa mengi na mengine ata zaidi., wewe kalilie kwa choo, haubadilishi ukweli., 😂 😂 😂 😂
 
Eti bongo maskini wa slums ndio wamezunguka matajiri kila mahali. 🤣 🤣 🤣 🤣 Umewaambia ukweli live live.
 
Nipo njiani now natoka Morogoro naingia mjini DSM.. Ila abood ni gari kali buana kitu ni AC tu hivi vitu kenya ni story tu 👇kuna mpuuzi mmoja aliwahi kusema Ati hakuna route ya Dar morogoro tu kwa basi eti kwasababu ni karibu sana 🤣🤣🤣 Kenyans bhana
 

Attachments

  • IMG_20220621_121853_831.jpg
    378.2 KB · Views: 28
Vizuri kabisa. Na pia kila Kata (Ward) kuwe na Afisa ardhi ili kuratibu shughuli zote za matumizi sahihi ya ardhi kuanzia ngazi ya Mtaa, Kitongoji, Kijiji na Kata.Iwepo sheria hakuna kujenga sehemu yoyote bila viongozi hawa kutoa kibali.
 
another sorry neck feeling the pain of carrying an empty head...wacha kutumia akili kama kofia ya kuziba jua nani
 
Unanifurahishaga mno [emoji1787][emoji1787], kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
Wala usipate naye tabu, yeye mwenyewe anajua fika kwamba 99% ya majengo ya Mombasa ni ya mwaka 1910 kushuka chini, majengo mengi ya Mombasa ni ya mwaka 1800s. Bora ya ka Nairobi kamejaa slums kuliko huu mji mzee uliochoka na wenye majengo ya kizamani yanayofuga majini na viumbe wa ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…