Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni mall pale Kunyaland
if this mall happen to be in tanzania, then its the 5th Mall in tz, after one in mwanza, one in arusha, say 2 in dar, and then now this one. a total of 5 malls in the whole of tz.

ona!. kenya tuko na 1,120 Malls.!!
 

Sio Kuku mwitu,
Tunaita local yaani Kuku wa kienyeji, unaweza mchemsha ukaweka na ndizi, au ukamchoma , mzee ni tamu sana and very healthy.
People rarely eat junk foods acha ufala, hiyo migahawa ya fast food imetapakaa kila mahali hapa dar but what is the big deal?
Yaani niache kula ugali samaki au kitimoto au mbuzi choma safi kabisa nile hizo takataka ?
 
Hapo sikupingi mtu wangu,upo sawa kabsa Tanzania huwa hatuna muda kabisa na malls,sisi tumeinvest zaidi kwenye masoko ndio maana sub-saharan region sisi tunaongoza kuwa na masoko mazuri na standard kabsa halafu anafuatia Nigeria na SA(Wameinvest zaid kwenye malls kama nyie tu))
 
Wewe huyuko Nairobi, hii statue ya Tom Mboya sahii iko fenced. Hata huna haya. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] eti uko Nairobi, kumbe unatamani sana kutembea Nairobi hadi unadanganya eti uko Nairobi sahii.
A fool that one
 
Wewe huyuko Nairobi, hii statue ya Tom Mboya sahii iko fenced. Hata huna haya. 🤣 🤣 🤣 🤣 eti uko Nairobi, kumbe unatamani sana kutembea Nairobi hadi unadanganya eti uko Nairobi sahii.
Ondoa fikra mgando wewe bwabwa,kwa hapa EA na hizi airports EA sifikrii kama kuna yoyote sijawahi fika
 

Attachments

  • IMG_20220603_215853.jpg
    67.5 KB · Views: 24
ombaomba? hahahhaha angali tukizuia mzigo saa moja tu unga unapanda, mkipunguziwa route za KQ DAR tu mindege yenu ya mkopo karibu yote yanapack
 
I don't think you have better markets than us either.
 
I don't think you have better markets than us either.
Naona unaongea kwa kuropoka tu,Markets nyingi za kenya ni kama public toilet kwa huku Tanzania.....Imagine hapa ni Gikomba Market Nairobi halafu ndio ufananishe na masoko ya Bongo??
 

Attachments

  • bcbceb82b5e89d54aaf066c65167cb45.png
    33.8 KB · Views: 24
  • ee70118e8c29121b0b0116750d28f82b.png
    46.9 KB · Views: 25
  • fcdc62fd4474613ac357a085acd5757b.png
    34.6 KB · Views: 25
Nimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo
Originally from Kirinyaga county. Ushago Kirinyaga kuna lami kilometer nyingi kuzidi Dar. Kirinyaga is roughly the same size as Dar. Checki hiyo tarmac road network.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…