Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hiyo mpira we are ranked above them and the last time we met we crushed their balls so hard 😂
 
I am 100% sure that you are in heaven. Mm nawaambia kama nikifa nitamkuta John pombe Magufuli jehanam basi mm nitaongoza moja kwa moja motoni sitasubiri mana itamaanisha duniani ukitenda wema unaenda motoni.
 

Attachments

  • Screenshot_20220122-022805.jpg
    33.8 KB · Views: 27
Ubaguzi type ya Kunyaland ati hawa ni Masai wa morogoro, je Kaskazini hakuna Masai wa Ngorongoro na Loliondo ambao ni tofauti na wa Narok na Kajiado?
Hapo kwa comment section hao ni Watanzania wanaopinga kwamba hao ni maasai wa Ngorongoro. Hao ni Watanzania wenzako kwenye comment section na by the way wote wanapinga. Nimepitia comments zaidi ya 50 zinazopinga kwamba hao ni maasai wa Ngorongoro.
 
Mpo mbele yetu ndio hiyo mshindi wa ligi kenya anapata Tsh 40m wakati Tz ni ksh 600m, tofauti ni kama mchana na usiku.
Rankings za FIFA haizingatii local league performance bongolala. If that's the case, England would be ranked number one in the world but it isn't. Rankings only consider performance ya national team. Umesikia kilaza?
 
😂😂😂 Kamwe Kisumu haitawezana na Arusha, wacha kunipotezea muda, we endelea kujifurahisha, bye
Haitawezana na Kisumu kivipi wakati picha za Kisumu tukiweka humu hamuamini macho yenu mnashinda mkizikana!? 😂 😂

Mimi ninachokijua ni kwamba kitu Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu, and this is by virtue of it being EAC's capital. Besides that hakuna kitu kingine.
 
Hiyo ndio Kama South C au Buru Buru yao sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku lami ni ndoto [emoji2][emoji2][emoji2]
In Nairobi there can be no such span of land without several kilometers of tarmac being seen
 
Sasa we jamaa una confess kabisa kwamba Arusha is EAC's capital then uko hapa unaminyana kuilinganisha nA Kisumu village center, ar you mad or something.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…