Hilo tatizo linaisha mwaka huu. Mashine hili linazinduliwa soon. Huoni tayari tumeshaanza kuongeza tax kwa gesi yenu hadi mnalia kama watoto wadogo?Biggest port yet 50% ya cooking gas mnapitishia Tanga
Wewe kaa ukijua hakuna city kama Konza city ukanda huu.Huyu jamaa ni msahaulifu kweli kweli, keshahau East Africa ina Dodoma the most organized City in East and Central Africa.
Sasa hizo ndio ziko na umuhimu, lakini zetu tunazojenga hazina umuhimu wowote?! Sour losers!Tumejenga dual roads na ring roads za kutosha na tunajenga interchange maeneo ya Usagara plus Busisi bridge hizo zote ni investment za kutosha
Tukiwaambia sisi ndio ndio kusema ukanda huu wanafaa kukubali. Ona wanavyopiga saluti ilimradi wapate maarifa 😂 😂Kenya baba lao. Forensics DCI washaanza kufunzwa polisi wa danganyika na nchi zingine za AfricaView attachment 2261031
Hadi vituo vikuu vina kasoro kwenye vyoo. Vyoo vilijengwa kwa stuff tu ,sijui kama shule ikijengwa na vyoo vya walimu tu ni sawa? Vyoo vina mahesabu yake tena kuna aina ya vyoo kwenye vitu vya public.... sasa acha nikueleweshe kwenye vituo vikubwa kama sgr terminal, brt terminal, masoko, maktaba , mahospital,nk nilazima kuwe na aina tatu au zaidi za vyoosasa vile vituo vya kati na choo wapi na wapi? Umeona wapi vituo vya basi vina vyoo? Manispaa ndo ijenge vyoo!
So hapo unataka kufananisha na back up ya utalii iliyopata Tz? Kutaja jina pekee bila kuonesha ni kitu gani mtalii atavutika nacho ndio ufananishe na kutajwa mt Kilimanjaro? Unaumwa mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Step out of that fishing village ujue yanayoendelea duniani. Hizi accolades ni vitu tumezoea bongolala. Nashangaa mnafurahishwa nazo!View attachment 2261258View attachment 2261259View attachment 2261260View attachment 2261262
Hebu taja value ya investment huko Konza tulinganishe na ya Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2]Wewe kaa ukijua hakuna city kama Konza city ukanda huu.
You making a great deal out of nothing bongolala. You didn't expect nilete hizo picha, sasa ni kutapatapa tu!So hapo unataka kufananisha na back up ya utalii iliyopata Tz? Kutaja jina pekee bila kuonesha ni kitu gani mtalii atavutika nacho ndio ufananishe na kutajwa mt Kilimanjaro? Unaumwa mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha mambo mengi. Tunazungumzia planning. Mji upi upo well planned. Konza city nyaya za umeme zipo underground wakati nyaya za umeme za Dodoma zinaning'inia hewani.Hebu taja value ya investment huko Konza tulinganishe na ya Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2]
Boya tunaongelea tourism kitu kinachofanya muwe na wivu,so indepence day kwa huko kunyaland na yenyewe imekua kivutio cha utalii kama kibera?Step out of that fishing village ujue yanayoendelea duniani. Hizi accolades ni vitu tumezoea bongolala. Nashangaa mnafurahishwa nazo!View attachment 2261258View attachment 2261259View attachment 2261260View attachment 2261262
Ila kwao huwa wanajenga vitu quality, alafu nilifikiri ndiyo wanatujengea cc hiyo nilishaanza kuchukia aisee.
Mlikosa conference center ya kufanyia huo mkutano ikabidi mtuaibishe wana East Africa kuandaa tents kama kambi za wakimbizi kwa ajili ya huo mkutano yani wakenya mbona hamna akili hivyo
Wacha kuweweseka bongolala. The convention center wasn't completed in timeMlikosa conference center ya kufanyia huo mkutano ikabidi mtuaibishe wana East Africa kuandaa tents kama kambi za wakimbizi kwa ajili ya huo mkutano yani wakenya mbona hamna akili hivyo
Mbona ndogo? Huku ndo anatoka yule majority leader Duale alikuwa anaongelea Tanzania kila siku bungeni akajenga dispensary akaita referral hospital? Aisee..hii Tanzania huwezi ita referral hospital!Mandera County Referral Hospital View attachment 2261311View attachment 2261312View attachment 2261313
sasa kama JKIA tent, utegemee nn hapo machokoroni Kisumu?Mlikosa conference center ya kufanyia huo mkutano ikabidi mtuaibishe wana East Africa kuandaa tents kama kambi za wakimbizi kwa ajili ya huo mkutano yani wakenya mbona hamna akili hivyo
Wacha uongo hio ilikua temporary time kulikua na moto, meanwhile Dar haina cruise ship terminal. Bado munatumia haka katent kadogo. 🤣 🤣 🤣sasa kama JKIA tent, utegemee nn hapo machpkoroni Kisumu?