Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumejenga dual roads na ring roads za kutosha na tunajenga interchange maeneo ya Usagara plus Busisi bridge hizo zote ni investment za kutosha
 
Mbona hukuandika hivi awamu iliyopita?
Nilisha sema sana kuhusu tatizo la design toka awamu iliyo pita hata ikulu mpya niliongelea mfano ni brt kukosa vyoo hadi wameungaunga tu kuviweka
 
acha nyege wewe, nawa zoom tu
Wewe najua utarudi jf uchaguzi ukipita kwenu ...hongera kwa kuja bongo kujificha ...nakuona unafurahia maisha bongo mambo za slum umezikimbia[emoji1787][emoji1787]
 
another huge investment[emoji116][emoji116]
Hapo tujue huo mchanga ni nini na unapelekwa wapi na unafaida gani ? Maana hata tz tunataka mchanga safi kuboresha fukwe zetu kama coco beach mchanga wake umesha kufa ni mweusi auvutii tena ,tumwage mchanga safi ili kuvutia utalii
Sijajua kama na mchanga safi wa fukwe utakuwepo kwenye huo mpango au ni madini mengine tu ya baharini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
U pretty know what will come next, a more advanced and better forensic lab than what u have just built! Learn from SGR story my friend!
[emoji23][emoji23] laughable, are you admitting that you like following in our footsteps
 
nairobae Tony254 Coco Master Nicxie dyfre Don YF kujeni muone huyu mwarabu bonoko anapinga ati hapa sio Kisumu😂😂

View attachment 2260596
eti sio kisumu.!🤔.. but infact i was there just the other week at Tom Mboya Labour College for some workshop.

Ichoboy, this is the affluent Milimani Estate in kisumu, just near nyalenda estate, hio nayo lazma kieleweke..!

ata nimeona heri kumletea google maps ndo huyu mtoto apate kuridhika

ichoboy01. google maps kwa raha zako babake👇🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…