Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna mtalii anaenda Kunyaland, kuna vurugu za uchaguzi kule!


Zile kelele za KQ kuizuia KLM isitue moja kwa moja Zanzibar na Kilimanjaro ziliishia wapi?
Siyo hivyo tu Royal tour imewaumbua baada ya kujua kumbe vivutio vingi vya utalii viko Tanzania na siyo Kunyaland ,Kwahiyo sasa hivi wanakuja moja kwa moja kwenye nchi ya neema iliyojaa maziwa na asali.
 
Nachukiaga watu wanaojichubua, mwingine unamkuta hadi mishipa ya damu inaonekana utadhani ni nyama iliyocharangwa,wanatia kinyaa sana.
 
Naamini hili litafanyika, mama yupo smart ana ubinadamu! Wale wanaodaiana na Hotel za Ngurdoto wanaweza kufanya off the court settlement ikiwemo madai kulipwa in parts!
 
Nachukiaga watu wanaojichubua, mwingine unamkuta hadi mishipa ya damu inaonekana utadhani ni nyama iliyocharangwa,wanatia kinyaa sana.
wacheni kuzusha kwahiyo nandy hakuwa light skin? Leta picha zake humu!






 
Public buses za Kenya alafu hawa eti ndio wanatengeneza buses za Tz[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2260223
hayo sio mabasi ni malori ya mizigo yaliyoongezewa mzigo mwingine wa vifaa vya ujenzi na rangi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
angalia hapo chini hilo bumper ni kilo ngapi, Bora wngine wangeweka fibre.









POST AGRARIAN AUTO ASSEMBLY LINE [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…