Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sisi nye nye nye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiyo pipeline imepewa hilo jina kimkakati ni pipe la kupitisha na kuhifadhi uchafu, na huwezi amini Wakunya wengi wa humu wanaishi hapo japo hawapapendi, mm siwezi kuishi hapo hata kwa bahati mbaya ni bora nikaishi uswazi. Yani pipeline na kibera bora kibera wakuu trust me.

Na pia msidhani kwamba hapo ndiyo residential area chafu zaidi Kenya hapana, kuna maeneo machafu zaidi ya hapo huko Kenya, yani jamaa ni wachafu mnoo.
 
All vichochoro vya slums in Kenya except Kibera have cabro which cannot be found in Dar cbd
Kibera wamejengewa a dual carriage way na flyover passing through., making transport faster apart from train services.,
 
Wee jamaa unakuanga zuzu kweli, pipeline is next to kenya pipeline shirika la mafuta, you need your head checked
 
Kalilieni kwa choo 😂 😂 😂 😂 , pipeline is called so kwa vile underground ni pipe ya mafuta inapita inayoelekea Kisumu na Eldoret., and pipeline company iko karibu na pale.., kilaza, hii sio Dar.., ukweli unaumaaa, najua ni uchungu lakini zoea zoea, sisi hatuna makosa, ni wivu wenu unawatesa hivi 😜 😂 😂 😂 😂



Vs ushamba ulio tapakaa Dar.,😂😂😂😂
 
Check huduma kwenye hili Bango. Kama zote [emoji23]

View attachment 2259861
Anakuambia Lab servses, alafu Wakunya huwa wanaogopa kukorofishana wenyewe kwa wenyewe wanajua ipo siku mtu akikorofishwa ataleta uozo wa nchini kwao kama huu, kuna siku kuna mmoja wao walimkorofisha akasema wakizidi kumzingua ataiweka Nairobi uchi, basi waliogopa na wakaacha kabisa kumgusa.

Hapa utakuta kuna Watz wanajifanya kimbele mbele kuponda nchi yao, mwengine jana eti katupia picha ya posta eti amei expose posta ndiyo kwanza kanipa screen saver ya hatari ambayo ckuwahi kuwa nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wataleta their collected evidence tuwasaidie uchunguzi kama walivyo mleta mkulu Nairobi apate matibabu ya hali ya juu, ila it was too late kwa ujeuri wao wakudhania wako sawa, walichelewa 😂 😂 😂
 
Hawa hufai kuwajibu,
Wacha wajibambe kama kawaida they keep repeating same topics always,
Mafala wa mwisho.
Hasira hasara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi takataka ndio hamfai kuwapa airtime,
Watu mandazi san
Matatu Gani inatumia expressway!!!
Plus lorries zinazoingia Nairobi ICD!!!
Hiii nchi Ni Kama Kila mtu Ni Mafi akili.
Tatizo lako ww huwa una hasira sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…