umeskia leo kadoda, show rooms zote zinahamia kigamboni. mbele ya dar es salaam zoom. kianzia january ukitata kununua gari au spare kunakuwa na eneo maalum ambalo ni kigamboniendelea tu "kujitia" faraja.
Sent using Jamii Forums mobile app
umeskia leo kadoda, show rooms zote zinahamia kigamboni. mbele ya dar es salaam zoom. kianzia january ukitata kununua gari au spare kunakuwa na eneo maalum ambalo ni kigamboniendelea tu "kujitia" faraja.
I really wanted to establish whether that was genuine or made up, thanks for clarifyingporojo..
Wewe bwege kweli, sasa hako kamji ndio ufananishe na Dar?punguza bangi my friend...lol! there are very many Indian, Australian, SA and Arab cities on the Indian ocean....ungesema east Africa & even then you would be dreaming...have you heard of Port Louis?? Mauritius capital city? lol!! eti Dar...Dar fananisha na kariakor pale Indian Ocean ukilinganisha na other oceanic cities...here is port Louis on the Indian Ocean...
![]()
![]()
now compare it to your village...lol!
Hahahaha,sio wote lazima tuwe na jobless recreational park like Uhuru park.
hapo Uhuru park pana kitu gani cha ziada zaidi ya lile bwawa na watu wasio na kazi nairobi wakilala kwa manyasi kutafakari maisha yao?.
kiufupi I don't see anything beautiful at Uhuru park apart from what I have mentioned above.
kwa sisi wa dar recreational center zetu ni public beaches.
kumbuka nairobi hakuna beaches, vinginevyo inawabidi msafiri kwa gari umbali wa kilomita 482.8 (masaa 8 na dakika 33),kwenda Mombasa kufata beaches..![]()
![]()
![]()
![]()
sisi kwetu beach ni kitu cha kawaida sana...imagine kutoka kwangu mpaka ilipo beach ni mwendo wa nusu saa tu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kibera peke yake mpo huko 2.5 million (60% of city population). Mmejazana huko mkijisaidia kwa flying toilets. Sipati picha na Vile Wakenya wengi ni Wachafuhaifiki ata 10per cent...hizo ni majina tu but not size