Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna infrastructure ya kisasa yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa kila siku nasema na leo imebainika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hizo infrastructures hawawezi tia pua zao hata moja.
 
Haya maendeleo ya Tz yananishangaza sn, yani bingwa wa ligi kuu anapata zaidi ya millioni 600 za Tz hivi nyie milioni 600 mnazichukuliaje wakuu, no wonder East African players wanaichukulia ligi ya bongo kama EPL yao, hii hapa ni pesa kutokana na matangazo pekee kwa ligi za Afrika, nasema hivi Yanga msimu ujao wa klabu bingwa Afrika sitawaelewa kama hawatofika semi final
tapatalk_-95885009_540x461.jpg
tapatalk_-1116126294_270x429.jpg
 
Wapi nimesema ni the busiest, mnaumia na maendeleo ya Tz mpk mnaropoka bila kuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakula kichapo mpaka unalisha watu maneno 😂😂😂
Yaani kichapo kimezidi. Mimi niliona neno busiest badala ya biggest.
 
Hivi kama umeshavuka stage moja si inamaana umefaulu kuivuka au ili Mradi ulipitapita tu kama ku scratch the surface [emoji1787]. Mtu anasema hawapo agrarian anymore wapo stage nyingine lakini tunaona malori ya msaada wa Chakula, umevukaje sasa hiyo stage na hujatatua shida za msingi? Au mi ndio sielewi mambo yanavyoenda.
Mkuu agrarian unaenda mbali sana 😅😅😅 mimi nimemuambia hata evolution of human being bado haijamalizika kunyaland, mpaka hawa wanaokunywa tope kama nyumbu wa masai mara waishe 😂😂😂😂

Screenshot_20220517-073458.png
 
yani kwa hio akili yako yooote.. sasa uko very sure JNIA ni kubwa kushinda JKIA..!? [emoji58][emoji58] yani unanibamba sana
JKIA capacity ni 2.5m pax per year.

JNIA terminal 3 alone capacity 6m pax per year Terminal 2.5m pax per year Terminal 1 1m pax per year
 
JKIA capacity ni 2.5m pax per year.

JNIA terminal 3 alone capacity 6m pax per year Terminal 2.5m pax per year Terminal 1 1m pax per year
JNIA is handling 2.5 M passengers in a year while JKIA us handling 8.3M in a year. So which one is busier than the other.
 
JKIA capacity ni 2.5m pax per year.

JNIA terminal 3 alone capacity 6m pax per year Terminal 2.5m pax per year Terminal 1 1m pax per year
JKIA ilihandle zaidi ya 7 million passengers in 2019 kabla ya Corona kuja.
 
Hongera sana Bro, Ila ukihitaji skimming plaster ya FINISH BORA na gypsum boards za KNAUF, KNAUF srews, KNAUF skimming tape, nipo hapa, utazipata kwa bei ya kiwandani kabisa kupitia mimi..
Vyote hivyo nishapiga mkuu hizo picha zingine za kitambo sana tangu 2020 mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom