Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If our tourism calendar starts in November mbona huja include data from November and December 2020? Ambazo zingeanza from November 2020 to October 2021 a full year.
Go argue with your government.

 
Noma, yajayo yanafurahisha.
 
Public buses in Tz are from Kenya.
Safi sana aisee mnatutengenezea bus kali alafu mnaziingiza kwenye meli inayotoka ulaya mnazileta Tz wakati huo huo nyie mnatumia buses za 60s. Hizo hapo juu ni buses za Tz kutoka Kenya zilizoletwa kwa meli ya kutokea Ulaya alafu hizo za chini ndiyo buses wanazotumia Wakunya ambazo ni malori yaliyogeuzwa kuwa mabasi, wanaupendo sn hawa mbwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Serikali ya Tanzania ime secure loan agreement na WB ya zaidi ya sh.5T. 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-132015.png
    97.4 KB · Views: 19
Tanzania public buses are assembled in Kenya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…