Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo kulingana na wewe mpinzani hawezi kua na maono sawa?
kumbe pele limepata mkunaji ndio maana nashangaa kwann wakenya wameshikilia bango hili kumbe penye kidonda ndipo dawa ilipoingia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ishu mbona wakunya wanaishobokea mnoo!
Wameona ndio ahueni yao kwenye utalii, c unakumbuka ile ishu ya Zanzibar walipambana lkn wapii, Wakenya wanaiogopa Tz ktk kila angle c kwenye utalii pekee, hata EACOP uliona walivyopambana juzi kati lkn napo wameshindwa. Hawa ni wafalme wa kukosa kila siku kama walivyojitangazia juzi kugundua mafuta lkn napo wapii.

Infact Wakenya wanaifuatilia Tz kuliko nchi yoyote duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watanzania wanashindwa kung'amua ni vita ya uchumi!
 
Kunyaland endeleeni na kuzusha huko Ngorongoro mkijua ndio labda tutarudi nyuma kiuchumi..

Mshachelewa ndio kwanza mama SSH anazidi kuupiga mwingi huku kwenye LPG πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-144649.png
    110.8 KB · Views: 38
  • Screenshot_20220611-144834.png
    101.4 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220611-144933.png
    112 KB · Views: 36
  • Screenshot_20220611-144850.png
    110.6 KB · Views: 38
  • Screenshot_20220611-145236.png
    100.7 KB · Views: 44
Mbwa za Kunyaland zinashadidia upuuzi wakidhani ndio wataharibu utalii wetu..

Hali halisi huko Ngorongoro mda huu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-164646.png
    81.3 KB · Views: 36
Ni mwendo wa kuupiga mwingi hadi Kunyaland wachanganyikiwe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-164336.png
    168.4 KB · Views: 36
  • Screenshot_20220611-164214.png
    222 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220611-164547.png
    73.5 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220611-145236.png
    100.7 KB · Views: 43
  • Screenshot_20220611-144959.png
    64.3 KB · Views: 31
Geza Ulole Wakenya hatutawacha hili jambo la Ngorongoro lipumzike. Tutahakikisha kwamba dunia nzima inajua kwamba nyie wajinga mnatesa wamaasai wenu. Ona neno Ngorongoro inatrend kwenye twitter ya Kenya nambari 6. Mtu yeyote anayeingia twitter Kenya atajua mlichowafanyia Wamaasai wenu. Halafu tunahakikisha media zote za dunia akina BBC, CNN wamejua mnachowafanyia wamaasai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…