joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Kawaida reasoning yako ipo chini Sana, Sasa ukitumia jina Kama Tony, Kuna Tony wangapi huko Kenya?, Kwanza Kuna uhakika gani kwamba kweli jina lake ni Tony?. Ninyi siku zote ni watu wenye uwezo mdogo Sana wa kufikiria mambo, matokeo yake ni uzushi na kuandika upumbavu hapa JFna pia huku jf nimegundua, majina za hawa watanganyika wote ziko Coded. hivi hakuna ata moja aliyeandika jina lake rasmi kama vile mimi Fredy ama ata Tony, iamLee, Don YF, MwathaDan, etc... kisa.! wanahofia kukua lebeled na kuchunguzwa na maofisa wa 'Usalama wa Taifa' kwa sensitive content zozote watakazo weza kupost humu. pia hakuna siku utawahi ona picha ama nyuso zao live [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].!!??
Tanzania wanatishiwa hadi na Spika wa bunge. 🤣 🤣 🤣 Badala asaidie kutatua shida kisheria, she is issuing threats.DEMOCRATIC country you said hehe eti mama anajali.. nkt! The best part with the truth you can never hide it for long
Wewe wacha upuuzi. Lazima uingize Kenya kwenye upuuzi wenu? Nyie wenyewe mnawaumiza na kuwauwa Wamaasai wenu halafu mnasingizia Wakenya. Polisi wanaofanya unyama huu ni Watanzania, risasi ni ya Tanzania, bunduki inayofanya unyama huu ni ya Tanzania. Sasa Kenya inaingilia wapi?Tatizo ni masai wa Kenya wanaona Masai wa Tanzania wakihamishwa watashindwa kuingiza mifugo Tanzania! Ndo maana NGOs zao ziko busy kuwahimiza Masai wa Tanzania wagome!
Sasa Lagos ambako wanapata one hour of electricity per day unaweza kulinganisha na Nairobi ambapo hakuna black-outs unless kuna maintenance, na maintenance yenyewe haifanyiki kila siku? Kenya unaweza kuenda hata miezi miwili bila blackout. Shebby01 ambaye ni Mtanzania anayeishi Kenya anaweza kuconfirm kwamba ninachosema ni ukweli. Sisi hatuna tatizo la blackout kama Nigeria. Tanzania ina more blackouts kushinda Kenya. Huo ndio ukweli mchungu.Halafu kunyaland capital inaizidi Lagos by faaar.
Uongo kabisa.
Sasa ndiyo nmekuonesha jinsi gani tunapaswa ku deal na wapumbavu wanaodhani wao ndiyo viongozi humu kwenye huu uzi, mtu akikurupuka na wewe unakurupuka naye pasipo kumuangalia usoni.Sasa unapost screen shot ili iweje? Nilikuwa tayari kwa lolote lile.
Tofauti ya Lagos na Dar ni population tu.,Halafu kunyaland capital inaizidi Lagos by faaar.
Uongo kabisa.
Kuna jengo hapo umelificha muonekano wake on ground ndiyo hili hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2256953
Huwa wanaongopa na vi make up ila tunawa expose mpk wanatuchukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We The Best wewe, kumbe Nairobi chini ya barabara ya mchina ndio panakaanga hivi?[emoji2377][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Genocide?????Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
Wanaosema ukweli wamekuwa wapotoshaji. Jinsi walivyopotosha kuhusu kifo cha Magu sivyo?🤣Tutadeal na wapotoshaji hadi wapate akili .
Killing humans for no reason. Wamaasai wanauliwa na polisi wa Tanzania bila sababu. Shamba ni maasai sio ya beberuGenocide?????
What is genocide?
This is sad. Nchi ya udhalimu hii.Wamaasai wengi wameuliwa. Media station hazionyeshi, zinaogopa ccmView attachment 2257101
Kama huku sio?Killing humans for no reason. Wamaasai wanauliwa na polisi wa Tanzania bila sababu. Shamba ni maasai sio ya beberu
Huyu naye kwao ni msomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Killing humans for no reason. Wamaasai wanauliwa na polisi wa Tanzania bila sababu. Shamba ni maasai sio ya beberu