joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hiyo inajulikana kwamba hajamfikia kwa kila kitu, ukabila, ukatili, kuvunja Katiba ya nchi, Elimu, uchapakazi, uwezo wa akili, uzalendo, ubunifu na matumizi Bora ya pesa za serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajafikia Sukumagang leader aliyesimamisha mradi wa kujenga chuo cha kilimo change kumbukumbu ya Mwl Nyerere Butiama 2015 ila kuenda kuanzisha utitiri wa vyuo Chato.
Huku hiki kikikwama toka Kikwete atoke madarakani!
Ni kama unatafuta attention mzee, uzalendo na ukabila havi-mix ni kama mafuta na maji! I thought u r smarter than this! Jamaa yuko six feet underground ukabila wake haukusaidia hapo Chato!Hiyo inajulikana kwamba hajamfikia kwa kila kitu, ukabila, ukatili, kuvunja Katiba ya nchi, Elimu, uchapakazi, uwezo wa akili, uzalendo, ubunifu na matumizi Bora ya pesa za serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijakataa kuwafanyia unyama, lengo ni kuwaonyesha kwamba unyama unaofanyika Tanzania ni 5% ya ule unaofanyika Kenya.Wewe punguza mihemko. Kubali kwamba mumewafanyia Wamaasai unyama yaishe.
Nashangaa eti anampiga block leo wakati cc tulipiga block account zake zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya maamuzi yako mbona km yamechelewa sana?
"DEMOCRATIC" Republic of Tanzania hehe shaaaameHivi Kenya Kuna Demokrasia kuizidi Tanzania?, Hata vichaa watakucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukishasema hivi ndiyo unategemea Tz itavunjika vunjika kama Kenya? Unajisumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
Alafu we jamaa nahisi unatumia Tecno j7 ya kitambo sana hii simu niliitumia kipindi nipo shule, haikai na chaji hii simu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
Hongera Sana kwa uamuzi wako huo, ngoja niendelee na kampeni yangu ya kumtenga[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
This is a very lame excuse how can you compare election violence to brutally beating peaceful Maasai settlers from their land?? In the election violence the crowd is violent too but what have the Maasai done to deserve that for the goverment to pocket a few dollars nkt! Shaaaame if you are a patriotic Tanzanian when the government does wrong you point out not just support inhumane behavioursKama huo ni unyama uliokithiri, huu utasema ni unyama wa kiasi gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bwana Tony futa upesi hayo ndiyo matusi ya kupigwa ban sasa.Wewe huwa unatanguliza Kenya kwenye kila kitu. Hata mke wako akifirwa najua utasema ni Mkenya amefanya hivyo. Najua ukiwa ndotoni, huwa unaota Wakenya wakikukimbiza kila wakati.
Alitaka kumpa nafasi kuona Kama atajirekebisha, lakini tabia ni Kama ngozi ya mwili, huwezi kuibadili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya maamuzi yako mbona km yamechelewa sana?
Hehe Wacha ushamba si lazima iwe techno hiyo Ni version ya android Na simu zote zinatumia that version have the same lookAlafu we jamaa nahisi unatumia Tecno j7 ya kitambo sana hii simu niliitumia kipindi nipo shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2257113
Hii ndio ukisikia 'Mzazi aliuza ng'ombe akasomesha ng'ombe' huyu niliblock ages ago!
Enzi za kubanwa kwa uhuru wa mahakama, Mbowe hajawahi kutiwa ndani bila dhamana kwa zaidi ya miezi 5, enzi za uhuru wetu, tumemsingizia kesi ya ugaidi na kumuweka ndani kwa miezi 8 [emoji23][emoji23][emoji23]Aliemfungulia kesi ndio kaimaliza hapo unaonaje
Tumia hata tafsida kidogo.Wewe huwa unatanguliza Kenya kwenye kila kitu. Hata mke wako akifirwa najua utasema ni Mkenya amefanya hivyo. Najua ukiwa ndotoni, huwa unaota Wakenya wakikukimbiza kila wakati.
Tatizo ni ushabiki wa kijinga tulionao watanzania, kiongozi/serikali ikitimiza wajibu wake, baadhi yetu kwa ushabiki tunalalamika na kusema watu wanaonewa kwasababu za kisiasa au kabila/mikoa wanayotokaLeo hii wapo nchi nzima. Ukienda Sumbawanga wapo, ukienda Lindi na Mtwara wapo, ukienda Kigoma pia wapo, ukienda Morogoro wapo. Sasa kwa nini hawataki kuishi kwa kufuata sheria!? Kwani wao wana utawala wao?
Mkuu, watu wakiambiwa waondoke katika vyanzo vya maji, baadhi yetu tunadai ni ukabila ndio chanzo, hili ni tatizo Sana mkuuUjinga wao ndiyo unaowagharimu.
Kutwaa ardhi kwa manufaa au masilahi ya Taifa ni jambo la kisheria. Hilo halihojiwi, ni utekelezaji tu, kama ilivyofanywa kwa maeneo mengine ya migodi, barabara, hifadhi za misitu, n.k.
Kwani nyie ile MAU EVICTION ilikuwaje?
Those photos must be accompanied with videos to hear what they say, I am sure these are not policemen who did this, this is more likely past events that involved fights among Masai and other tribes.We accept our shortcomings, you deny them yet they exist.